Anaaminika kwa lipi hasa hata apewe taarifa na kujulishwa mambo kadha wa kadha ya kitaifa na watu anaowaita wana usalama juu ya kinachoendelea nchini?
Ana umuhimu gani au ana ushawishi kwenye lipi hasa humu nchini hasa ukilinganisha historia ya maisha yake ya kifamilia na siasa ilivyogubikwa na...
Poleni sana,
ni muhimu kujifunza kujali afya kwanza kabala ya starehe.
Tazama sasa maumivu unayopitia, gharama na muda unaotumia kujitibu kwasababu tu ya starehe ya muda mfupi.
Jifunze kutumia kinga na kuepuka kufanya ngono zembe kiholela.
Baki njia kuu. Kunywa pombe kupita kiasi ni hatatari...
Mwanzoni viongozi waandamizi wa chadema hususani ngazi ya taifa walikua wakijipiga kifua sana hadaharani kwamba hakuna mgawanyiko wala mpasuko wowote ndani ya chadema, ispokua kilichokua kinajitokeza ni uhuru wa viongozi na wanachama wa chadema kutoa maoni na mitazamo yao dhidi ya waliyo kua...
Heche anajulikana kwa ubinafsi, huku hekima na busara vikimpitia pembeni kama ilivyo kwa Lissu.
Lakini pia ni Heche ni muoga sana field ukilinganisha na majigambo yake kwenye mikutano au press. Ana maadui wengi zaidi chadema sambamba na Tundu Lissu anaeona kila mjumbe wa mkutano mkuu chadema au...
Hii ni polite exit strategy ya kuondoka chadema.
kubaki kwake chadema ni lazima ashinde uenyekiti taifa. kinyume na hivyo atachukua mkondo mwingine kisiasa.
Ni kwanini atangaze kugombea umakamu mwenyekiti awali, halafu ghafla unabadili gia angani na kuutaka uenyekiti na sio umakamu mwenyekiti...
Nchini kenya Kaimu IGP kahukumiwa miezi 6 jela kwa kosa la kutoheshimu wito wa mahakama.
Sasa je kwa upande wa kwetu tanzania kitu kama hiki kinaweza kufanyika na je wataalamu wa sheria mtusaidie kwa nchi yetu kuna vifungu vinaweza wabana wakuu wa vikosi kama hawa kama ilivyo kwa nchi ya Kenya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.