Habar wasakatonge wenzangu,
Kuna kitu nimekiona hivi karibunj kwenye interview zetu pendwa za utumishi wa umma,
Kwenye nafasi ambazo candidate wake hua wanakua wengi Kama HR, Accountant, Auditors,Tax,Lawyers hv karibuni wamechukua marks za juu sana kifupi unaweza pata 60 na usiende Oral angalau...