Recent content by Mr Mzalendo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mei Mosi 2018: Rais Magufuli atapandisha Mishahara miradi mikubwa ya Serikali ikikamilika, Mwaka jana alinukuliwa Vibaya

    Sifa zote za Rais wa wanyonge anazo jiwe letu, hivyo ni vyema tuliombee Taifa kwa Mungu atuepushie huyu jiwe kwani ndiyo mwenye kupenda taifa la wanyonge azidi kuwanyonga.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Mussa Assad, ametoa msimamo mkali kuhusu majukumu yake kwamba hatumii utashi binafsi

    Wacha upuuzi weee, Amani ya masononeko moyoni ni amani hiyo? Amani ya kukubali hata kama kuna ovu linatendwa viongozi ni amani hiyo? Amani ya kuona watu wana uwawa kisa tu kukosoa ni amani? Na kwa yote hayo yanayotokea unategemea kama hata kuna iyo amani kidogo, unahisi itaendelea kudumu tena...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo siasa uchwara zinazozalisha wasomi uchwara

    Aliondika haya sio msomi ni mpuuzi wa mwisho, kwanza msomi angeweza kufupisha maelezo na point zingeeleweka pili huyu mtu ni Muongo kabisa, hakuna mwanasiasa alietamka yakuwa tumeibiwa 1.5 Trillion kwenye Ripoti ya CAG, bali Zito Kabwe alichosema ni kwamba hazijulikani matumizi yake au...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano 26 Aprili: Uingereza yawataka raia wake kuchukua tahadhari

    The village called. They’d like their idiot back. You better get going.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano 26 Aprili: Uingereza yawataka raia wake kuchukua tahadhari

    Hey, do you Want know how to keep an idiot waiting….I’ll tell you tomorrow.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano 26 Aprili: Uingereza yawataka raia wake kuchukua tahadhari

    You have the right to remain silent because whatever you say will probably be stupid anyway.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano 26 Aprili: Uingereza yawataka raia wake kuchukua tahadhari

    Yep, no doubt about it, your father should have pulled out earlier. Sio kila mtu humu ni mshabiki wa vyama vya siasa wewe, na ukitaka kuzungumzia ripoti ya CAG unatakiwa uanze na 1.5 Trillion ambazo hazijulikani matumizi yake.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano 26 Aprili: Uingereza yawataka raia wake kuchukua tahadhari

    Hiyo ipo visevesa, kama wewe kweli unaishi Tanzania jitahidi umuulize hata Muhudumu wa Bar kuhusu huyo mtu, utaskia watu ambavyo wanamuona ni kituko, au jaribu kufungua nyuzi nyingi tu za humu JF utagundua hesabu zako ni mbofu kabisa.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano 26 Aprili: Uingereza yawataka raia wake kuchukua tahadhari

    Kwahiyo unataka Watazania wasubiri Miaka 600 ndio waanze kudai Democrasia ? Kwahiyo unahisi mfumo wa Kidictator ndio unae tufaa sisi? Kweli sasa unaniaminishia kweli bado kuna watanzania ambao bado ni vilaza. Calling you an idiot would be an insult to all stupid people.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano 26 Aprili: Uingereza yawataka raia wake kuchukua tahadhari

    Serikali ingewanyanganya simu watu wapuuzi kama nyie kwanza, we unasema Tanzania ni Taifa Changa? Eti watu hawana elimu? Pungavu wewe, watu hawana AJIRA na sio elimu, Watanzania wa leo wanaugulia tu kwa chinichini huku wakijua wazi Wezi wa Rasilimali zetu ni viongozi walioshika madaraka, wanajua...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano 26 Aprili: Uingereza yawataka raia wake kuchukua tahadhari

    We unapimwa tezi dume nini apo? Kwahiyo unataka na sisi tusubiri miaka 600 ndio tupate democracy? Punguani wewe, watu wanataka kudai haki zao za msingi, na mi mbumbu Tanzania mmebaki wachache,kila siku zinavyoenda Watanzania wanaelimika, Watanzania hatutaki Watawala bali tunahitaji viongozi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Catherine Magige(Mb): Mwanaume wa Kisukuma amewashika pabaya

    Huyo ni mwakilishi wa alie mchagua kwa minajili ya vitu maalum na sio kwa ajili ya watanzania, yani ameamua kumchagua kwa kuwa anafaa kwa matumizi ya vitu maalum. Watanzania wamenza kuwa wajanja hawawezi kuchagua upuuzui ksma huo labda kwa kuibiwa kura.
  13. M

    JamiiForums Tanzania USISAHAU: TZS 1.5trilioni hazina maelezo. TRA wamedanganya trilioni 2.2 makusanyo mwaka 2016/17

    Haya ni maoni yangu kama Mtanzania Mzalendo, Kutokana na Ripoti ya CAG pamoja na Teuzi za Majaji ni wazi inaonyesha kuwa kuna jamii ndogo ndani ya nchii hii inajiletea maandeleo na kusahau Watanzania tulio wengi. Ni vyema sasa kama Watanzania tusimame kwa pamoja na tuondoe tofauti za vyama...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mimi ni mzilankende muyango

    Kalizaliwa 29/10/1959 na Rwanda kulikuwa na Vita kati ya mwaka 1959 mpaka 1961. Hii majibu tu ya swali lako lakini sijasema ni ukweli kazaliwa Rwanda au la, hivyo chukua majibu changanya na akili zako utapata muafaka.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mimi ni mzilankende muyango

    Kalizaliwa 29/10/1959 na Rwanda kulikuwa na Vita kati ya mwaka 1959 mpaka 1961. Sasa hapo mi nimekujibu maswali yako tu changanya na akili zako halafu utapata kujua hizo ni Bangi au kuna ka ukweli kidogo?
Back
Top Bottom