Kwa majina naitwa Regan mkazi wa kibaha mji mkoa wa pwani ni wauzaji wa dagaa kwa ajili ya kula sasa tulikusanya mzigo mkubwa kawa ajili ya kuuza kwa bahati mbaya mvua ikanyesha zikaloana so hazifai kwa ajili ya matumizi ya watu bali kwa matumizi ya vyakula vya mfugo inafaa kama kuna mtu ana...
Guyz habari mm ni mfanyabiashara naomba kujua sehemu ambayo watu wananunua dagaa wachafu kwa ajili ya vyakula vya migugo kwa sasa tuna tani kama 35 za dagaa wachafu lakni pia uduvi ila kwa sasa upatikanaji wake ni mdg sana.
Wapendwa samahanini kwa usumbufu, mimi ni kijana wa miaka23 nina mtaji wa 120k naombeni mnishauri biashara ya kufanya, nipo mkoa wa Pwani Kibaha Loliondo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.