Recent content by mr mtenya

  1. mr mtenya

    Ni adhaabu gani unaweza kupata ukibainika unatembelea gari ya commercial likiwa na plate number ya private (njano)?

    Habari naombeni kujua adhabu ya kutembelea gari ya commercial(gari la biashara, plate number nyeupe) likiwa na plate number ya private (plate number ya njano)?
  2. mr mtenya

    DRIVER-Transport officer available (V.i.P grade ||)

    Habari ndugu na jamaa, naitwa Abduly mtenya natafuta kazi ya udereva ni mzoefi wa miaka 6, na sifa zote za udereva 99%… 📲whatsapp number & calls for more information +255659972797 asanteni👏
  3. mr mtenya

    Kazi ya udereva(V.I.P grade ||)

    mungu afanye wepesi👏
  4. mr mtenya

    Kazi ya udereva(V.I.P grade ||)

    Natafuta kazi ya udereva Dar es Salaam, dereva mzoefu, mtanashati mwenye vyeti vyote vya udereva
  5. mr mtenya

    V I P driver natafuta kazi

    Habari ndugu zangu...naombeni connection ya gari ya udereva mkoa wowote...na vyeti( certificate of secondary, veta advance driving) road license class C.. umri miaka 28.
  6. mr mtenya

    Natafuta kazi ya uber

    faida ipo sana tu....
  7. mr mtenya

    Natafuta kazi ya uber

    ila kote lazima usign mkataba ila ipo tofauti mzee
  8. mr mtenya

    Natafuta kazi ya uber

    kwenye uber mkataba unamaanisha hivi:: hesabu kwa wiki laki 2 ila baada ya miaka 2 gari lako....yaani dereva akimaliza mda wa mkataba miaka 2 anakabithiwa gari kisheria, service kwa dereva....na maisha inamaana hivi:: hesabu 150000 kwa wiki service kwa boss ila mda wowote boss anaweza chukuwa...
  9. mr mtenya

    Angalizo: Wanaoweka matangazo ya kutafuta Kazi

    Natafuta kazi ya uber Habar, mimi ni kijana wa miaka 26, ni mzoefu wa kazi ya uber miaka 2 sasa...mwaminifu,mtanashati pia nithamu ya hali ya juu...sina gari kwa sasa naombeni msaada wa ajira.makazi yangu ni bunju b no.0764687024
  10. mr mtenya

    Natafuta kazi ya uber

    kwa siku elfu 20,kwa wiki 150000
  11. mr mtenya

    Natafuta kazi ya uber

    kwa siku elfu 20,kwa wiki 150000
  12. mr mtenya

    Natafuta kazi ya uber

    Habar, mimi ni kijana wa miaka 26, ni mzoefu wa kazi ya uber miaka 2 sasa...waminifu,mtanashati pia nithamu ya hali ya juu...sina gari kwa sasa naombeni msaada wa ajira.makazi yangu ni bunju b no.0764687024
Back
Top Bottom