jamaa ameandika mambo kibao afu yote hayana ushawishi, hayavutii hata..50 years of uhuru guys, review point no 5. why wasifanye enzi za JK..aaaisee akuna mpya...peopleeeeeees
da huyu b mkubwa bora angenunua kipindi redio tanzania afu akarusha matangazo yake ya uzinduzi kuliko kupoteza mda jukwaani..au aungane na CCM..huyu Ukawa hatumhitaji maana nyota yake imefifia kama ja JPM
faiza...uwelewa wako ni mdogo sana kwenye siasa still unasiasa kama za waimba taarabu...Pesa wawe nayo wasiwe nayo we inakuhusu nii? achomwe sindano mara 4 kwa siku inamaana analala masaa 8 per day..embu tumia akili kama kiumbe wa kawaida ambae umepewa fikra ya kufiriki...acha kushadedia...
unaweza ona unajitia kidole kwa EL, kumbe kuna dole gumba lenye makucha laweza zama loote na kuacha alama za michubuko...pole sana kwa yule kijana ambaye hapendi mabadiliko
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.