Taarifa kwa umma: NEC yaviliza vyama vya siasa kwa kutoa taarifa hii

wananhci wote tujiandae na kupambana na hii tume ya kifisadi iliyowekwa mfukoni na serikali ya CCM, Lubuva from being a good Judge to ccm follower
, na wewe Kailima Ramadhan umewekwa hapo haraka haraka na Kikwete ili uekeleze ila unachoambiwa kaa msukule ila sio tume huru
 
Je hii ndio kuhalalisha katazo la UKAWA kuzindua mapeni huko Jangwani Jumamosi ijayo??
 
Tafadhali Msaada wa ufafanuzi wa vipengele 5.10 na 5.12 maana Naona hapa kuna hujuma na kama kawaida NEC imeshageuzwa ofisi ndogo ya Lumumba!!
 
Hii nchi imeshauzwa.Ukiona uchaguzi unafanyika Tanzania lakini anayetoa tathimini ya nani atashinda yuko MAREKANI ujue huyo ndiye mnunuzi na ana haki ya kuchagua mtu wa kutawala nae nchi.
 
Wanajitahidi sana kuwabana UKAWA kila kona, lakini mwaka huu mtakipata cha mtema kuni!
 
Ushenzi mtupu!CCM juzi walikaaa hadi saa ngapi? Nasema ni ushenzi mtupu. Ole wenu mtu mnyonge atakapochoka kuonewa!!
 
Kampeni za sokoni na kwenye daladala hizo. Ratiba ya UKAWA ikoje kwani?
 
Humu ndani kuna watu hawatumii akili kwel kwel? Hizi kanuni zilipitiwa na vyama vyote na kukubaliwa na wote sasa UCCM unakuja vipi hapa??

Mnalalamika kama wafa maji? Kushinda ni lazima mpende msipende Raisi ni Magufuli
 
Hizi sarakasi hizi... malofa na wapumbavu naona wanawapa shida kweli kweli
 
Humu ndani kuna watu hawatumii akili kwel kwel? Hizi kanuni zilipitiwa na vyama vyote na kukubaliwa na wote sasa UCCM unakuja vipi hapa??

Mnalalamika kama wafa maji? Kushinda ni lazima mpende msipende Raisi ni Magufuli

Kumbe kanuni zilipitiwa na vyama vyote,iweje CCM inavunja kanuni kwa kupitiliza muda na Tume haijachukua hatua zozote?
 
Back
Top Bottom