Recent content by Mr mpango

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuku wa kienyejimsimu huu wa Pasaka

    [emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kuku wa kienyejimsimu huu wa Pasaka

    Hahahahaha.. Sawa kwa ww ntakuuzia kwa 10k..tuma nauli kesho umpokee then utanitumia pesa yangu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuku wa kienyejimsimu huu wa Pasaka

    Katika kipindi hiki cha sikukuu ya pasaka.. Mwenye uhitaji wa kuku mmoja au au zaid ya hapo kwa lengo la kuenjoy mwenyewe au biashara... Baaaas toa order sasa ili upate kuku walio nona na wenye vigezo vyakufanyia biashara Nipo Njombe mjini.... 0764364581 message[emoji390][emoji394] or...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuuza Mkaa: Uzoefu, Vibali vya kuchoma, Changamoto na Ushauri

    Hmna.. Ni kitu kilichopo mheshimiwa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mshirika wa biashara

    Investment kwenye biashara gani kaka..?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuuza Mkaa: Uzoefu, Vibali vya kuchoma, Changamoto na Ushauri

    Hapana.. Ni aina ya mti special kwa mkaa.. Ntajitahd kesho nikuekee caption uione
  7. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuuza Mkaa: Uzoefu, Vibali vya kuchoma, Changamoto na Ushauri

    Poa kaka naomba nikutafute kesho
  8. M

    JamiiForums Tanzania RAV 4 Inahitajika

    Upo mkoa gani?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuuza Mkaa: Uzoefu, Vibali vya kuchoma, Changamoto na Ushauri

    Life level n capablity of buying such M. F gas
  10. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuuza Mkaa: Uzoefu, Vibali vya kuchoma, Changamoto na Ushauri

    Mkaa wa mti wa mlingo.. Haijakatza ila ilkua inakagu vibali
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kufanya biashara ya kusafirisha kuku kama nipo nje ya Dsm

    Daaa.. Kwahyo bei inaeza ikawa imepanda ee??
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kufanya biashara ya kusafirisha kuku kama nipo nje ya Dsm

    Dodoma kunakuku wabei rahs sana.. Ila n vijijini.. Kwenye minada kuku had 5000
  13. M

  14. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Kuuza Mkaa: Uzoefu, Vibali vya kuchoma, Changamoto na Ushauri

    Nipo mkoani Njombe.. Kwa yeyote mwenye mtaji kutoka mikoa ya nje ambaye angependa kufanya biasha hii ya mkaa anambie nimpe namba ya simu tupange biashara
Back
Top Bottom