Nawezaje kufanya biashara ya kusafirisha kuku kama nipo nje ya Dsm

aniny

New Member
Mar 23, 2017
2
0
mambo vp jamaa
naweza kupata ushauri kuhusu kufanya bishara ya kusafirisha kuku kama niko nje ya dsm, ikiwemo bei, namna za usafirishaji na gharama, maeneo naweza kupa soko na vingine kama utakua na idea za kutosha kunisaidia
 
Daaa.. Kwahyo bei inaeza ikawa imepanda ee??
yap maana wale jamaa wanawafuata wakulima huko huko wakiwa bado wako njiani wanakuja mnadani.
ila mara nyingi huwa naona mpaka kufikia mchana wanakuwa wameshajaza matenga,so usikwame we nenda tuu utapata huwezi kukosa kabisa mkuu kuku wapo wengi tuu.
 
Back
Top Bottom