Recent content by MR MKWAVINYIKA

  1. MR MKWAVINYIKA

    Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

    Nipo maeneo ya kijiji cha kalenga mkoani Iringa nimeamua kujalibu kufuga aina ya pelege kalibuni.
  2. MR MKWAVINYIKA

    Naomba bei ya vitunguu Maji na vitunguu swaumu sokoni huko kwenu.

    Tafazali wadau nataka kujua bei ya vitunguu maji na swaumu huko ulipo bei ya sokoni
  3. MR MKWAVINYIKA

    Salon ya kiume inauzwa

    Mbona hausemi upo mkowa gani...!
  4. MR MKWAVINYIKA

    Natafuta soko la Mabanzi ya kujengea mabanda

    Wadau mm nipo mkoa wa Iringa natafuta soko au watu binafsi wenye uhitaji wa mabanzi au makapi ya mbao mkowa wowote tuwasiliane ili tufanye biashara namba yangu ni 0767879732. Hii ni picture ya mabanzi.
  5. MR MKWAVINYIKA

    Wabunge Chiku Abwao, Mhonga watimkia ACT-Wazalendo

    Mtoa post hii naomba nikusahihishe kua chiku Abwao sio mwenyekiti wa chadema wa mkoa yeye alikua ni mbunge tu wa Viti maalumu ninae kujuza mm ni mwana chadema nipo hapa Iringa. Kwa taarifa yako chiku tunashukuru kwakazi aliofanya mwaka 2010 kwenye kampeni kwakuwatia ujasiri vijana wa iringa na...
  6. MR MKWAVINYIKA

    Soko la ngozi za mifugo kama ng'ombe,mbuzi na kondoo.

    Ndugu wadau napenda kujifunza kutoka kwenu kwa wale wenye kujua vizuli kuhusu biashara ya ngozi na soko lake. Nataka kujua uitaji wake gharama ya manunuzi na gharama ya sokoni. Na je! soko kuu liko wapi?
  7. MR MKWAVINYIKA

    Amini Usiamini, Nchi hizi zinaongoza kwa Ajira na Mishahara mizuri

    Jamani kama kuna kazi msiogope kufa twendeni kufanya kazi
  8. MR MKWAVINYIKA

    Shamba la kupanda miti ya mbao/nguzo za umeme linauzwa - Iringa

    Maeneo gani mkuu kwani Iringa kubwa sana mufindi au kilolo?
  9. MR MKWAVINYIKA

    Shamba la ekari 50 linauzwa

    Mkuu dabaga kubwa ni kijiji gani mkuu.....??
  10. MR MKWAVINYIKA

    Hivi Kwanini Tanga, Pwani Dodoma, Morogoro na Iringa wanaipenda sana CCM

    Iringa mjini hakunaga ccm...........
Back
Top Bottom