Recent content by MR miyagi8771

  1. MR miyagi8771

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Waamuzi wa kigeni kuchezesha Derby, ni Moja kati ya takwa la Yanga

    LIDUDE LIKUBWA🙌🙌
  2. MR miyagi8771

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kipimo cha akili kwa mtanzania ni mjadala wa mechi ya dabi

    Ngoja waje
  3. MR miyagi8771

    JamiiForums Tanzania Ila Madebe anamiliki wanawake wazuri lakini kwenye movies anasema uzuri wa wanawake sio sura

    jamaa anamiliki pisi kali ila kwenye movie zake anakwambia uzuri wa mwanamke sio sura 😀 bali ni tabia ila madebe😂😂
  4. MR miyagi8771

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzize atatupia goli 2 leo kwenye mechi ya Tanzania dhidi ya Ethiopia

    hahaha😂😂😂 sioti nipo kidimbwi ningeota nipo kidimbwi mikojo dakika 0
  5. MR miyagi8771

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzize atatupia goli 2 leo kwenye mechi ya Tanzania dhidi ya Ethiopia

    saw ngoj nimalizie mechi ndoton. maan saa hii ni halftime.
  6. MR miyagi8771

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzize atatupia goli 2 leo kwenye mechi ya Tanzania dhidi ya Ethiopia

    saiv ni halftime TAIFA STARS 1 mzize ETHIOPIA 0 wacha tuone mpira bado haujaisha labda anawez kufunga mengi zaidi😂😂😂
  7. MR miyagi8771

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzize atatupia goli 2 leo kwenye mechi ya Tanzania dhidi ya Ethiopia

    kweli kabisa. ila ndoto mara nyingi ni fumbo uenda atafunga goli 2 in single game kwa mechi zijazo.
  8. MR miyagi8771

  9. MR miyagi8771

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzize atatupia goli 2 leo kwenye mechi ya Tanzania dhidi ya Ethiopia

    nikipindi cha kwanza bado mzize hapa ndio anatafuta goli la pili,😂😂
  10. MR miyagi8771

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzize atatupia goli 2 leo kwenye mechi ya Tanzania dhidi ya Ethiopia

    bado mech haijaisha ndio kwanza dakika niya 32 kipind cha kwanza
  11. MR miyagi8771

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzize atatupia goli 2 leo kwenye mechi ya Tanzania dhidi ya Ethiopia

    bado haijaisha dakoka
  12. MR miyagi8771

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi wa Afrika/blacks wanavutiwa zaidi na wanawake wenye makalio makubwa sana?

    sasa uyo mchina iyo nyash huko kwa wanawake wao wanaipatia wapi. niondoe utata kila mtu alinge na alicho nacho NB: wanawake wenye nyash tunao na tunatamba nao.
  13. MR miyagi8771

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzize atatupia goli 2 leo kwenye mechi ya Tanzania dhidi ya Ethiopia

    baada ya match utarudi kuuamkia huu uzi.
  14. MR miyagi8771

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzize atatupia goli 2 leo kwenye mechi ya Tanzania dhidi ya Ethiopia

    Clement Mzize mtampa lini heshima yake
  15. MR miyagi8771

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mzize atatupia goli 2 leo kwenye mechi ya Tanzania dhidi ya Ethiopia

    leo nimeota TEAM ya taifa stars itaibuka na ushindi wa(GOALS 3-1) dhidi ya TEAM ya taifa ya Ethiopia. Na miongoni mwa izo(GOALS 3) MZIZE atatupia chuma mbili (2GOALS)
Back
Top Bottom