Mzize atatupia goli 2 leo kwenye mechi ya Tanzania dhidi ya Ethiopia

leo nimeota TEAM ya taifa stars itaibuka na ushindi wa(GOALS 3-1) dhidi ya TEAM ya taifa ya Ethiopia. Na miongoni mwa izo(GOALS 3) MZIZE atatupia chuma mbili (2GOALS)
Mpira saa ngapi na kikosi kikoje kumbe saa 1 niataenda kwenye uwanja wenye watu wengi
 
Back
Top Bottom