Recent content by Mr Mike

  1. Mr Mike

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kabisa Mkuu.. Mimi si mtabiri ila kama sokoni tutafanya vema, Sina shaka na uwezo wa Pass Master.. Usajili Bora huwabeba hata walimu Bora pia
  2. Mr Mike

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wakuu, NtYga Min me King Faisal Fuente Bagabeach Selikavu na Wadau wote hapa natumai mko vema na mnaendelea vizuri na mapambano ya kila siku.. Mijadala mingi imenipita, Nitumie wasaa huu kupongeza hata kidogo kilichopatikana.. Andrey Santos: huyu bwana nimemuona game Moja ama mbili akitokea...
  3. Mr Mike

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Pole sana Mkuu..lakini kitu kimoja Nina Imani nacho, Manchester United ipo karibu kurejea.. timu zote Zina Anza upya kujipanga
  4. Mr Mike

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Wamenishangaza sana Spurs.. Muuzaji kugeuka kuwa mnunuzi wa Bei mbaya.. Nawatakia Kheri.. Soko limeshaharibika sasa..sijui sasa tetesi zinaelekea wapi..
  5. Mr Mike

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Tchouamen, huyu ni design ya wapambanaji anaowapenda kocha mzalendo The Special One..😁😁 Ataruhusu aondoke? Labda tu iwe iliamuliwa baada ya tukio la kugombana na Fede
  6. Mr Mike

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Sina Maarifa mengi katika Soka, ila Nina amini Msingi wa timu imara na Bora yeyote unaanzia kwenye Kiungo.. Kama hapa wataleta mzaha(ambao tayari wameufanya) basi tutangoja sana.. Nimeishuudia Chelsea ya kwanza ya Jose Mourinho..(Lampard, Essien, Ballack, Obi, Makelele) wengine wamenitoka, hii...
  7. Mr Mike

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ukweli katika maisha, chochote kizuri huwa kina gharama zake..hakuna namna ya kupata mchezaji mzuri kwa pesa za kibahili.. haiwezekani...awe kinda ama aliye komaa,, mchezaji mzuri unampata kwa pesa nzuri.. INEOS hii itikadi Yao itawafukuzisha kazi watu wengi sanaa,, By the way, Berrada yeye...
  8. Mr Mike

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mimi si mtabili😂😂😂 Ila kuwakosa hao jamaa wawili tayari gari imeyumba sana.. Tumeishi misimu minne ya kuwaombea njaa Arsenal.. mwisho wa siku wamebeba ubingwa😂 Maumivu ni makali sana kwa kweli
  9. Mr Mike

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mateus kaniuma ila Tonali kaniuma zaidi...
  10. Mr Mike

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Kwa EPL, tuliwahitaji sana wachezaji wa pale pale katika ujenzi wa Msingi imara wa timu hasa idara ya Kiungo.. Tayari tumekosea..sijui Mpango ni upi.. Niliwaona Tanguy Ndombele Timeoe Bakayoko Thomas Lema Wakiwa Monaco, wa moto sanaa.. Mmoja akaenda Spurs Wa pili Chelsea na Wa mwisho...
  11. Mr Mike

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Weghost na Ighalo😂😂 Mkuu siwatetei hao Jamaa..na mimi nazitamani sana "here we go" ila nadhani uhalisia unajionesha Kwanza management ile ni watu wa fix tu..vitendo taratibu sana.. lakini sio wabovu kwa kiwango tishio.. Pili Michael sio mwalimu wa kusema ana maajabu atafanya hata kwa kundi...
  12. Mr Mike

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ni kweli Mkuu, Tatizo lilianza Michael alipoandaa mazingira ya kutofunguliwa mlango wa kutokea(kuirudisha timu nafasi za juu) Tatizo kubwa ikawa sokoni hakuna walimu wazuri(proven Managers).. Na sasa Menejimenti inaamua kumpa timu Michael.. Nadhani kwa uangalizi zaidi wa Mkurugenzi wa ufundi...
  13. Mr Mike

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Labda tunakosa mzee wa kazi chafu(kina Gill, Kenyon na wengine wa namna hiyo) Wazee wa Chemicals pesa ipo ila inawauma sana kuitoa.. Nafasi ya tatu tuliyoipata imewapa kiburi zaidi.. Soko la Nne lipo na ni very cheap..(Ederson) Kuna Nmeacha na Stiller pia wamekuwa wakitajwa..nadhani Hawa...
  14. Mr Mike

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    INEOS Hawana shida Mkuu..huu ni mtizamo wangu.. Soko limeyumba na bei zimepandishwa sana hasa hapo EPL.. Wanasema Wana project ya kubeba ubingwa 2028.. Mana ake 2027 lazima wawe mabingwa ama Makam-bingwa.. Hivyo mchujo ni muhimu kupata wachezaji Bora.. Elliot hajaonesha kuwahitaji Utd.. Ni...
  15. Mr Mike

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Asante sana Mkuu.. Case ya Walimu nadhani Liverpool wamepatia zaidi.. ila naye anapaswa asoti ukuta..na hata Kiungo..japo Dominick kacheza vema sana msimu jana Chelsea wamepata mwalimu mzuri ila wakati huu nao wanayumba sana.. Kuna unrest ya wachezaji hasa kama Enzo pia atawaacha.. Siasa za...
Back
Top Bottom