Recent content by Mr Matata

  1. Mr Matata

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mdude Nyagali apatikana akiwa hai baada ya kupotea kwa siku 4

    Kwa akili zako lazma utakuwa Punga wewe au Bwabwa na kama ni Demu basi unakobolewa tumia akili kutoa maoni sio unatumia Makalio, Choko wewe.
  2. Mr Matata

    JamiiForums Tanzania Waitara awavaa wapinzani Bungeni, "Mnataka mpewe gunia la Chawa?"

    Huyo Mwita Waitara ni zaidi ya dhaifu, kifupi ni lidhaifu yani eti Billioni 13 + Billioni 18 jumla ni sawa na Billioni 1, huyu kweli ni waziri ? Au Wazimu ? Hesabu hizo alisoma Chooni au Chuoni ? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Mr Matata

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Tukutane CNN na Aljazeera

    Pumbavu we kabisa, vyombo vya dola vipi, umeshawahi kusikia hata mtuhumiwa mmoja kukamatwa na kuhojiwa? Umeshawa wahi kusikia hata huyo kiongozi wenu wa mazwazwa kuongelea au kusisitizia upelelezi ufanyike? Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mr Matata

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ameshawahi kufanya nini hadi tumuite Mzalendo?

    Hi inadhihirisha kuwa Bongo bado kuna wapuuzi na washamba wengi sana, hivi kweli unaona ulicho kiandika kweli? Au wewe hukusoma huo uzi ? Ukaja upuuzi kama huu. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mr Matata

    JamiiForums Tanzania Ndege ya nne, Boeing 787 Dreamliner kutua nchini kesho Julai 08, 2018 saa nane mchana

    Nahisi wa Tz wengi wameanza Kuelimika hao wajinga na washamba pia, wameanza kustuka hivyo labda kwa wizi wa kura tu.
  6. Mr Matata

    JamiiForums Tanzania Julius Mtatiro ahojiwa na Polisi kwa kosa la kusambaza ujumbe usemao "RAIS KITU GANI?" Anyimwa dhamana

    Wajinga tu tu ndio wanae muelewa Jiwe..
  7. Mr Matata

    JamiiForums Tanzania Zitto: Kauli ya Waziri Kabudi kuhusu kutotangaza mapato kutoka Tanzanite One ni ya kitoto na kujidhalilisha

    Everyone is entitled to be stupid, but you abuse the privilege my friend . Yani siwezi kuamini kama Tz bado kuna watu wajinga na wakumbafu kama wewe, yani hata kina Jingalao ambao tunawaona kuwa ndio mazuzu humu kwenye kuchangia hoja, wameona aibu kwa upuuzi aliongea Prof uchwara, wewe unakuja...
  8. Mr Matata

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe kutopenda ubalozi wa Israel

    Nadhani mtazamo wako ni wakipuuuzi mno, hata mtoto mdogo ataudharau, kumshambulia JPM sio maswala ya udini, ni maswala ya ukiukwaji wa katiba ambao Jpm anaufanya kila siku, ni nani leo hii asio tambua tunatawaliwa na mtu asio na waledi wala hekima ? Jpm mwenyewe angekuwa anahekima basi hata hao...
  9. Mr Matata

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe kutopenda ubalozi wa Israel

    Ni wapi uliposoma na kuwa ugomvi wa Palestine na Israel ni wakidini ? Inamaana wakristo wa kipalestina wao wana amani na matendo ya Waisrael ? Au hutambui yakuwa kuna wakristo huko palestina ? Je unatambua kuwa siku Trump alivyo recognise kuwa Jerusalem ni Israel capital, wakristo wa Israel...
  10. Mr Matata

    JamiiForums Tanzania Hoja Fikirishi: Rais Magufuli amefanikiwa kupunguza mafisadi lakini sio ufisadi

    Sasa aliyotuhumu ni huyo alioandika huu uzi au ni CAG na ripoti yake ? Au ulitaka watanzania tulazimike kuelewa majibu ya zile hesabu za kujumlisha na kugawanya alizotoa Chakubanga? Mi nahisi wewe ndio mpuuzi wa mwisho, kwani kuna lipi la uongo aliloandika mtoa uzi ? Je Bunge lilipitisha bajeti...
  11. Mr Matata

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe kutopenda ubalozi wa Israel

    Wee mbona hueleweki unachobishana?
  12. Mr Matata

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe kutopenda ubalozi wa Israel

    Zitto ni wapi alileta udini kama sio wewe ndio unatuletea udini? Mimi ni mkristo na sijaona swala la udini alilolitamka Zito, kama huyo Zitto na chama chake Walipinga ujio wa Rais wa Morocco ambae ni Muislamu Mwenzao na ni kiongozi wa Taifa la kiislamu kutokana na Maswala ya Kisiasa, sasa...
  13. Mr Matata

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe kutopenda ubalozi wa Israel

    Baadhi ya Waarabu ndio wenye Chuki na Wayahudi na Sio Waislamu, wewe unajua kuwa Wasaudi wapo pamoja na Waisraeli kupinga Utawala wa Iran? Je unajua aliyekuwa Waziri Mkuu wa Iraq alikuwa ni Mkristo na alikuwa hawapendi Wayahudi? Je unajua Mke wa aliekuwa kiongozi wa wapalestina Yasin Arafat...
  14. Mr Matata

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe kutopenda ubalozi wa Israel

    Mbona kaongelea na Morocco lakini haujalitilia maanani ? Embu tumia akili za kichwani kidogo.
  15. Mr Matata

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe kutopenda ubalozi wa Israel

    Wewe umesikia wapi kuwa sisi Tanzania tuna ubalozi wa Somalia?
Back
Top Bottom