Recent content by Mr Masindi

  1. Mr Masindi

    JamiiForums Tanzania Jiandae kisaikolojia TAMISEMI kumwaga majina ya Walimu na Afya Juni 24, 2022

    Ingieni uhondo TV yuko live
  2. Mr Masindi

    JamiiForums Tanzania Wale mtakaofanikiwa ajira za Ualimu njooni hapa tujuzane

    Iko kahama manispaa kata ya mondo... hyo, kahama iko shinyanga... pitia tabora, ukifka tabora chukua gar za kwenda kahama mjini.
  3. Mr Masindi

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza kuhusu shirika la MDH

    Uko Tabora hospital ama zahanati ipi?
  4. Mr Masindi

    JamiiForums Tanzania Vijana acheni ujinga, hakuna Mambo ya Connection TAMISEMI

    Nipe connection ya mtu huyo, laki5 si pesa.
  5. Mr Masindi

    JamiiForums Tanzania Kimeumana Vanilla Njombe: Ni utapeli mtupu

    Mkuu, na marekan wanatumia ganja?
  6. Mr Masindi

    JamiiForums Tanzania Salary scale

    Umeelewa ulichokiuliza?
  7. Mr Masindi

    JamiiForums Tanzania Moses Lijenje aliyetajwa kutupwa na Polisi kesi ya ugaidi ya Mbowe na wenzake ni nani?

    Ni mmoja wapo ya walinzi wa mbowe
  8. Mr Masindi

    JamiiForums Tanzania Songwe: Askari waliovuka mpaka kuingia Malawi kinyume cha sheria wafukuzwa kazi

    Hicho ki alama maana yake umeweka data limit, na kikiwepo hcho huwez haTA kushare hotspot yako kwa mtu mwingine.
  9. Mr Masindi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Bango la Magufuli limenishangaza sana

    Namimi nimeliona shinyanga nikashangaaa sana
  10. Mr Masindi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za Tundu Lissu zaingia rasmi kanda ya Nyasa, Mbeya Mjini

    Hawarushi live ili tufatilie hotuba?
  11. Mr Masindi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Kipindi havipo walikuwa hawalipi kodi?
  12. Mr Masindi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020

    Umefanya vizuri kukiri maana jana ulimpondea.
  13. Mr Masindi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Naapa sintapigia kura CHADEMA mgombea akiwa Membe

    Nasimama nawewe, watakuwa hawajielewi kurudia makosa yaleyale. Watakuwa c wa kuwaamini tena.
Back
Top Bottom