Wakuu,
Kabla sijafika ofisi za VETA Mwanza naomba madereva mnishauri hapa.
Nahitaji mwaka huu usiishe niwe nimepata angalau ujuzi wa kuendesha magari haya ya kawaida tu pamoja na leseni yake.
Nimeona VETA ndio chuo kinaonekana cha uhakika. Hizo course zinatumia muda sana maana bado niko na...
Fug nguruwe mkuu. Mimi nimeanza kufuga sasso mwezi wa 8. Wako 100 tu ila hiyo gharama ni nyingi sana. Nilitaka kuwauza wakiwa na miezi mi2. Ila niliona watu hawafiki bei ninayotaka. Nimepambana nao na mpaka sasa wako 76 wameshakua niwauze sikukuu hizi. Niache kama 30 tu wa kutaga. Ila...
Gharama za utunzaji wake ndio zinafanya wawe na bei pia. Jogoo akiwa na miezi mi5 anauzwa 25 hadi 30k.
Mtetea anataga kwa mwaka na nusu mfululizo. Na akishamaliza kutaga unamuuza kama nyama 15k. Hawatamii. Anataga pekee. Ila mayai yake unaweza kutotolesha kwa incubator. Kuku chotara ni...
Nauza kuku aina ya SASSO. Wana wiki 11. Bado wiki 10 hadi 13 mitetea waanze kutaga.
-Jumla wapo 76. Wana uwiano sawa wa idadi..yani nusu kwa nusu na mitetea.
-majogoo unaweza kuyauza msimu wa sikukuu kwa kuwa tayari watakuwa na wiki 18 wanakuwa wakubwa kwaajili ya nyama na uache mitetea...
Wakuu nauza Laptop yangu Hp Probook.
-kipengele ni betri pekee..kwahiyo ni kama pasi lazima kuwe na umeme ndio iwake. Betri ilikuwa sawa tu ila ndio naitumia hivyo hivyo. Nataka kujazia ninunue nyingine kubwa zaidi yake pia.
-inafaa kama unatumia kwa stationary, kwa mwanafunzi wa chuo maana...
Mimi nimekaa sana nyamalango...ila sasa nipo sweya hivi nimejichimbia. Nikila dagaa na samaki mara moja moja. Maana nazo hazishikiki. Ila mwanza nzuri bana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.