Recent content by MR.MAMBA

  1. M

    Mzee Lowassa kurejea CCM baada ya Uchaguzi

    chadema tpo sawasawa hvyo vtu havpo sema hujui ulitendalo ccm imekuzdishia umaskin lakn bdo huelewek watu kama nyny wachache ndio mnaotpoza na liccm linalo tchakaza.
  2. M

    CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!

    watanzania tusifanye makosa tena kukiweka chama cha mapinduzi madarakani kwa sababu zifuatazo; kwanza ccm kimekuwa KICHAKA CHA WEZI magufuri anazo sifa nzuri lakin anaenda kuzungukwa na wezi walio kubuhu hakika uongozi utamshinda pili ccm wakikaa pembeni watawasimamia...
  3. M

    Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

    Siku Hiz Kila Ki2 Ni Utata! Hadi Dk Hii Matokeo Kidato Cha 4 Bado,ajira Za Walimu Hali Ni Tete,mikopo Ya Kielimu Lundo La Watu Wamekosa,mifumo Mingi Wizara Ya Elimu Inabadilishwa Kla Kkicha, Teknoljia Inapanda Sisi Utata Unazd! Serkal Ina2pa Taswira Gani?
  4. M

    Ajira Mpya Za Walimu Ni Kama Kesi Ya Lulu.

    Jamani Naombeni Ushauli: Nimetimuliwa Hom Sasa Naishi Maisha taiti Wanahisi Nilifeli Mtihani Ndomaana Sjapata Kazi. Nawaambia Post Hazjatoka Lakni Hawaamin! Noma Zaid Gazeti La Mwananchi Lilpoandika SERIKALI YAMWAGA AJIRA KWA WALIMU Ndo Nikafngashiwa Vrago
  5. M

    Ajira Mpya Za Walimu 2013

    Utata Umegubika Ajira Za Walimu 2013 Zilizosemwa Kutangazwa Januari Kama Rais Kikwete Alipoudanganya Umati Huko Kigoma Ktk Uwanja Wa Barafu Pia Waziri Mlugo Nae Akatoa Tamko Kuwa Ni Januari! Wote Hawa Wamelidanganya Taifa.Tuwe Macho Ktk Uchaguzi 2015.
Back
Top Bottom