Recent content by Mr Kiroboto

 1. Mr Kiroboto

  Kenya: Almunusura mahututi wa COVID-19 azikwe hai

  Acha udini wewe Kwani uliambiwa anakamuliwa mtu aliye hai?
 2. Mr Kiroboto

  Nataka kujifunza kichina

  Ni PM naweza kujitolea kukufundisha free[emoji4] Sent from my iPhone using JamiiForums
 3. Mr Kiroboto

  Ziara ya Rais Magufuli mkoani Mbeya imenifanya nimtafakari mbunge Sugu kwa upya

  [emoji16][emoji16] Sent from my iPhone using JamiiForums
 4. Mr Kiroboto

  Watumishi waliokuwa masomoni wamekosa sifa ya kupandishwa vyeo

  Ukisoma vizuri utaona Mtymishi kama huyo hajapoteza sifa,atapanda tu.Hicho kipengere kinawahusu walioenda masomoni kabla kudumu kwenye cheo kimoja kwa miaka 4 (Zaman ilikua ni miaka 3) Sent from my iPhone using JamiiForums
 5. Mr Kiroboto

  Msaada: Sioni salary slip ya mwezi huu

  Mimi sioni ya Mwezi wowote,sasa sijui Mtandao au ?[emoji848] Sent from my iPhone using JamiiForums
 6. Mr Kiroboto

  Msaada: Sioni salary slip ya mwezi huu

  Salary haijatoka kwa baadhi ya Watumishi Mkuu Sent from my iPhone using JamiiForums
 7. Mr Kiroboto

  Hospitali ya Mkoa wa Tanga, Bombo: Kitengo cha Mapokezi wajirekebishe

  Kama yeye hapiti hapa uwenda wapo wakubwa zake au wanaomfahamu kama wewe,so atapata tu ujumbe. Sent from my iPhone using JamiiForums
 8. Mr Kiroboto

  Hospitali ya Mkoa wa Tanga, Bombo: Kitengo cha Mapokezi wajirekebishe

  Sijaona hoja yako ya Msingi.Kama unamfahamu ni vyema Mwambie ajirekebishe maana hata Mimi nilimueleza ukweli juu ya lugha yake chafu. Pia hii ni sehemu ya kusemea maana hata huyo Boss wake anapitia hapa. Sent from my iPhone using JamiiForums
 9. Mr Kiroboto

  Hospitali ya Mkoa wa Tanga, Bombo: Kitengo cha Mapokezi wajirekebishe

  Mkuu hapo Bombo hilo Tatizo la Lugha isiyo ya kuridhisha wanayotoa Wahudumu wa hapo Mapokezi ni la Muda mrefu,lakini hamna jitihada zozote zilizochukuliwa. Isitoshe hilo la Lugha Chafu kwa Wagonjwa siyo hao tu bali hata Kiongozi wao ambaye ni Mganga Mfawidhi wa hiyo Hospital hana lugha nzuri...
 10. Mr Kiroboto

  Je, wajua kwamba uchawi huvaliwa kama nguo?

  Maana kuna Jirani yangu alihisiwa ni Mchawi.Akaletewa Mtaalamu kumtoa Uchawi,cha kushangaza Mtaalamu hakukuta kitu. Lakini Watu wanahisi labda alificha uchawi,maana waliokutwa na mambo ya kishirikina wakienda kwa Waganga wanaambiwa huyo Bibi ni Mchawi,lakini wakifika kumtoa uchawi hawauoni...
 11. Mr Kiroboto

  Je, wajua kwamba uchawi huvaliwa kama nguo?

  Mshana Jr,Hivi Mchawi anaweza kuficha Uchawi wake hata kupelekea Waganga kuamini kuwa hana Uchawi? Kwanini Wachawi wengi wanaishi miaka mingi sana hapa Duniani? Sent from my iPhone using JamiiForums
Top Bottom