Kuna huu mfumo E malalamiko serikali umeanzisha vizuri yaani mwananchi au mtumishi mwenyewe anaweza kuutumia kulalamikia jambo lake ,upo katika Kila Wizara, Mkoa na Kila Taasisi ya Kiserikali. Lakini utabaki kutuma malalamiko yako huko unakaa zaidi ya miezi Sita hata kujibu sawa tumepokea...
Ndugu Kiongozi,
Sisi ni Kikundi cha Vijana wa Kusoma Mita za Maji katika Wilaya ya Mtwara, kilichosajiliwa kisheria na Halmashauri ya Manispaa ya Mtwara Mikindani chini ya Ofisi ya Mkurugenzi.
Kikundi chetu kilipata fursa ya kuidhinishwa na Mamlaka ya Maji Mtwara (MTUWASA) kutekeleza kazi ya...
Na kama mtu anaona wamechelewa kujibu akaamua kujisajili chuo alichokubaliwa mwanzo sababu vyuo vngne vmeeanza masomo je akitokea amebahatka kuhamishwa chuo ni lazma ahame chuo cha kwanza?
Mi nawaomba yawe ya amani ili yasije yakatokea mengine mabaya na kwa hao mnaowafata wasijifanye wao ndo wao wasikilize hoja na wajue jinc ya kutatua tatzo cyo kujenga tatzo lingne kubwaaa
Jaman msikae mkasubiri.muambiwe huku jf. Una nguvu na uko mjini nenda ofisi za TCU direct. Ohooo mtu anapatajibu leo ww utajulishwa kesho kutwa too late.
Naomba ushauri. Nimechaguli iringa university na wanafungua j3 na ataeshindwa kuripoti j3 amejiondoa mwenyewe chuo na mm upande wa pili nimeomba nihamishwe chuo je nifanyaje sababu nkienda kuripoti j3 na ada lazma nlipe, je kuna anaejua majina yatatoka rasmi lin kwa wale tulioomba transfer?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.