Recent content by Mr kempanju

  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta wakala wa kutoa mizigo China kuja Moshi au Arusha

    Leta mzigo hadi. DSM kisha utapakiwa na bus hadi Moshi
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi nyingi za ajira zilizotangazwa leo ni wewe tu kutuma maombi yako

    Nipeni tender ya kudesign flyer yenu
  3. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu, nahisi kuchukua maamuzi magumu

    Mm siyo Jumbe
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kaniwish Valentine, nimeblue tick tu

    Kama unataka kupita jibu utakula siku wanawake hawaeleweki bro
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kaniwish Valentine, nimeblue tick tu

    Kama unataka kumla jibu usionyeshe kususa Kwan kakuomba pesa, be a man Ipo siku atajichanganya tu, kuna mademu wengine wameumizwa sana so wanakupima hata miezi sita
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu, nahisi kuchukua maamuzi magumu

    Pole sana kila mwanaume amepitia hicho kipindi, kuna ambao walimuachia mwanamke kila kitu wakatoka na nguo zao tu wakaanza upya, na mengine mengi kila mmoja ameumizwa nina mengi ya kukuambia na natambua situation yako ila fanya hivi 1. Hama mtaa au nyumba unayokaa ambayo mpenzi wako alikuwa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuelewa ukweli wa Rais Samia njoo Marangu Mtoni mkoani Kilimanjaro, kati ya bodaboda 5, wanne au watu ni mashoga

    Tuliaminishwa huko ndio kuna wahuni wengi na makatili aisee
  8. M

    JamiiForums Tanzania Msanii Jotta aliyebadili jinsia alijizolea umaarufu kwa kuimba nyimbo za injili

    Ukristo haufungamani na ushoga, tabia ya mti binafsi au dhambi ya mtu binafsi si dhambi ya dini Mungu haukumu dini bali atahukumu mtu, ukristo unakataza ushoga au mapenzi ya jinsia moja kimaandiko kabisa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mnaopata wanaume wa kuwaoa, huwa mnafanyaje?

    Nilikuwa nawaza hiki kitu nikatoka ma majibu yafuatayo 1. Vipaumbele vya wanawake juu ya wanaume wanaowataka wawaoe si halisi wanaume wengi ni wounded na wamekata tamaa ya kuoa au kuishi na mwanamke, hawawezi kujitoa kwa mwanamke kiwango cha mwanamke kuwa that person is serious 2. Expectation...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Makundi ya wanaopinga ndoa na maisha ya ndoa

    Mnatubeza bila kutusikiliza Mnatutukana bila kufikilia Wanawake wa sasa wanamtzamo tofauti kabisa wa maisha na wanawake wa kizazi chenu Vijana wengi wanamajonzi mioyoni mwao hawana sehem ya kusemea wazee wako busy, vijana wanamatatizo makubwa kuhusu mahusiano mengi sana, Kundi la rafiki...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta tenders za usafirishaji nina fuso imepaki

    0656260132 /0688393663
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)

    Mahusiano yamekuwa mtaji Hasa hawa watoto wa 2000s hawaoleki, hawahusianiki, sijui itakuwaje baada ya miaka mitano lakini kwa vijana sioni vile wakioa aisee
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje sina hisia nae kabisa

    My mom once told Usivumilie usaliti
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Nipe bei za mazoezi Whatssap bro 0688393663
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Uarabuni boss Tuwasiliane 0656260132
Back
Top Bottom