Dah! Hii Dunia Jamani.
Kipindi hicho niliumia sana, nilijiona dhaifu sana mpaka nikajidharau.
Siku ya Mwisho nikikuwa Kawe Beach na ex Wangu, akanambia laivu its over. Sikuweza kumjibu.
Ila niligundua kuwa alinicha kwa sababu Ex Wake alipata kazi. Wakarudiana.
Saivi hata nikiachwa siumii
NGURUWE ni kundi la wanyama wanaofugwa kote duniani. Kibiolojia ni nususpishi ya Sus scrofa. Jumla ya nguruwe duniani hukadiriwa kuwa bilioni mbili.
Nguruwe hufikia uzito wa kilogramu 40–350. Kichwa kinaishia katika mdomo mrefu unaofanana kidogo na mwiro wa tembo ingawa ni mfupi.
Wataalamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.