Kumbe umaarufu wa pweza unatokana na kuchamganya dawa za kuongeza nguvu za kiume wakati anapoandaliwa? Niliamini maneno haya baada ya kuambia na dada 1 ambae ni muuzaji wa famacy moja iliyoko k/koo nakunihakikishia kwamba amekuwa na wateja wake wa kudumu ambao wanafanya biashara ya pweza. Watu...
Kama hakuna wa kukufariji pale unapoanza kupata mafanikio basi inabidi ujifariji mwenyewe. Watu wamechoka kusugua gaga mtaani badala yake wengine ndokwanza wanazid kuwavunja mioyo, chamsingi hapa somo la uvumilivu lichukue nafasi mwisho wa siku kitaeleweka tu kama watu tuingie msituni kuchoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.