Wakuu habari poleni na majukumu yenu ya kazi siku ya leo naenda moja kwa moja kwenye mada naomba kujua walifanikiwa kuwa shortlisted leo kufanya usaili uliokuwa unafanyika saa nane mchana wa nafasi ya Collection officer ilikuwaje na ni maswali gani yaliulizwa.
Ahsanteni.
Ni kutokana na kukua kwa teknolojia pamoja na upatikanaji wa matilio ya kusomea ya kutosha kwa njia mbalimbali mfano simu,. Siku hizi unaweza kusoma uku unakula ndizi[emoji529][emoji529][emoji529] zamani haya mambo yalikuwa bado ayajawafikia kwa watu wengi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.