Nilikujibu kwa vile umesema ukiachana na New York, Ja Rule hana ngoma zinazoweza fika hata level ya wanksta ya 50 Cents. Kwa kifupi umemchukulia poa sana Ja Rule na ndio maana nimekuwekea list ya ngoma ambazo ziko beyond hiyo wanksta kwenye platforms.
Soma tena utanielewa. Naona umenijibu bila...
Hahahaaa badoo nilikuta mke wa rafiki yangu wa primary kaweka mapicha kibao. Kwenye status "looking for a date". Nimechoka. Mpaka sasa mwamba sijamuambia nahisi akijua atazimia.
We jamaa kama bando limekata sema tukuunge! Kwann unaleta story nusu nusu kama goli la nyeto, unatupandisha stimu lkn hamu haikati [emoji35][emoji35][emoji35]
Blaza blaza blaza nimekuita mara tatu naamini unafatilia hizi old skul hip hop ila hapa sio kwa ushabiki wa kizamani, tuongelee uhalisia. Inaonyesha una chuki na mnyama Ja Rule tu au mahaba yako kwa 50 Cents yamekufanya u-underestimate how legendary Ja Rule is to the Hip Hop Game.
Hatukatai 50...
Uzi kama huu mods wataufuta.
Rejea ule uzi uliokua unatiririsha audio za yule mke wa mtu aliyekua anamegwa na mtumishi wa halmashauri ya sumbawanga iliyopelekea mume kumuua na yeye mwenyewe kujinyonga. Uzi wa Lucy na Jerome. Umesepa [emoji3]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.