Recent content by Mr Journalist

  1. Mr Journalist

    JamiiForums Tanzania Picha mbao sio kitu cha kukosa mdau wa JF

    Yeah hizo ni Size
  2. Mr Journalist

    JamiiForums Tanzania MR JOURNALIST FOOTBALL RESULTS SEPT 12 | 2026

    📅 12 SEPTEMBER 2026 🇬🇧 PREMIER LEAGUE ⚽ Aston Villa 1–2 Nottingham Forest ⚽ Bournemouth 2–2 Brentford ⚽ Chelsea 2–2 Hull City ⚽ Crystal Palace 2–3 Ipswich Town ⚽ Liverpool 0–0 Fulham ⚽ Tottenham 0–0 Everton ⚽ Sunderland 0–2 Arsenal 🇪🇸 LALIGA ⚽ Racing Santander 2–1 Alavés ⚽...
  3. Mr Journalist

    JamiiForums Tanzania Vitendo vya raia kupambana na polisi na kuwapiga ni dalili kuwa ipo siku raia watashika silaha na amani itatoweka

    Nimeona clip ya vijana wawili wakiwa wamefungwa pingu na wanapigana na polisi sasa sijui ni ya hivi karibuni au kitambo
  4. Mr Journalist

    JamiiForums Tanzania Nitafanya kazi gani baada ya kumaliza kusoma?

    Asante sana, nitazingatia hii
  5. Mr Journalist

    JamiiForums Tanzania Nitafanya kazi gani baada ya kumaliza kusoma?

    Kufanya biashara na juwa na uhuru wa kifedha
  6. Mr Journalist

    JamiiForums Tanzania MBAPPÉ Apokea GOLDEN BOOT yake ya 16🏆

    23/24
  7. Mr Journalist

    JamiiForums Tanzania MBAPPÉ Apokea GOLDEN BOOT yake ya 16🏆

    Kylian Mbappé amekabidhiwa tuzo ya mfungaji bora wa UEFA Champions League 2025/26 baada ya kufunga mabao 15. Kwa Mbappé, hii ni Golden Boot ya 16 katika career yake. 🥇WORLD CUP 🥇 Champions League 🥇 La Liga 🥇 Ligue 1 🥇 Coupe de France 🥇 Nations League Finals 16 Golden Boots. Na bado...
  8. Mr Journalist

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Polisi wamempiga daktari mwenzetu mpaka kalazwa ICU

    Wameema amepigwa na raia wema😂
  9. Mr Journalist

    JamiiForums Tanzania Hivi shule za Dar Es Salaam zinaruhusu Wanafunzi kwenda na simu Shuleni?

    😀😀 je wanazitumia kwa manufaa au ni kwenda kufanya challenge za TikTok kama Pipitida 😀
  10. Mr Journalist

    JamiiForums Tanzania Hivi shule za Dar Es Salaam zinaruhusu Wanafunzi kwenda na simu Shuleni?

    Wanasema hawaruhusu ila vijana wameamua kujiamulia tu 😀
  11. Mr Journalist

    JamiiForums Tanzania Hivi shule za Dar Es Salaam zinaruhusu Wanafunzi kwenda na simu Shuleni?

    Mnunulie atakuwa anatumia home
  12. Mr Journalist

    JamiiForums Tanzania Hivi shule za Dar Es Salaam zinaruhusu Wanafunzi kwenda na simu Shuleni?

    Kwanini sasa mkuu wakati umesema likizo umemuandalia tena iPhone 😀
  13. Mr Journalist

    JamiiForums Tanzania Nitafanya kazi gani baada ya kumaliza kusoma?

    Hii kweli, hapa ni kujitoa ufahamu sasa😊
  14. Mr Journalist

    JamiiForums Tanzania Nitafanya kazi gani baada ya kumaliza kusoma?

    Hii kwenye Ujinga wa watu imekaaje Mkuu, naweza kupata elimu hapo ndugu yangu 🙏🏻
Back
Top Bottom