Kwanini swali lako linking na Command la 'wapi huko' ni hawana tofauti na kumbikumbi kwenye mlipuko tofauti ni Timeline.
Huo muda nadani hua ni mazaria tu ya mayai yakifikia muda na hard rafiki ndio hiwa serene kamili huruka.
Suala la wapi, hapohapo kagera sema tofauti ni wakiwa hatua ya kabla...
Hizi groups unaona zote nimezi achieves tu kwasababu nina kazi nzuri tu sasahivi. Nimeziacha kwasababu sijui ya kesho.
unaona hizo posts kuna Mamia ya matangazo humo...ndipo mimi nimepatia kazi sana hadi nayofanya sasa. Mchawi ni CV nzuri kufuatilia, kujiandaa muda wote.
Najua nini naongea, kitu nilicho experience mwenyewe nilimaliza chuo miaka minne nimekaa mtaani sina mchongo wa maana kwenye ajira sipo biashara sipo.
Niliamua kuwa serious mwaka jana mwezi wa nane nilitengeneza CV nzuri na kujiunga groups nyingi. Siku yangu ilikuwa ni kufanya udalali naphtali...
Si kweli
Mimi ningekuwa ndio naingia mtaani Leo kutoka chuo ndani ya mwezi tu ningeweza kupata kazi, nilichelwa sana kujua na kuwa serious Leo ningekuwa mbali.
Mwanachuo yeyote anaingia mtaani leo achieve ushauri huu
1/ Tengeneza CV nzuri yenye Working Experiences safi na Skillsets ulizopata...
Tatizo lako ni kutokujua kutenganisha kati ya MAKING na SPENDING.
Tunatafuta pesa (Making) hili tutumie kwa yale tunayoyapenda (Spending) kwenye context ya mada hawo wanaopata pesa wanafanya Making ila sisi tunafanya SPENDING baada ya kufanya Making sehemu nyengine pia na hao wanaoingizaa pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.