Hao waliopelekwa kwenye hilo pori ni askari wa aina Gani? Ni hawahwa askari wanaolinda usalama wa raia?
Kitendo cha kubaka na kuvamia mali za watu pamoja na kuuwa binadamu hicho ni kitendo cha Askari?
kama ni ndiyo, basi wananchi kitendo cha kuchoma hilo pori mi naona wamefanya adhabu ndogo...
01. Hakuna pesa nyingi siku zote.
02. Kwa hiyo bajeti uliyonayo hata ukianza kupokea zaidi ya milion 2 bado hela haitatosha kwani naamini utaiongeza tena.
03. Kaa na mke wako tena muambizane kwa pamoja kuwa ninyi ni masikini na msijizime data.
04. Hiyo bajeti yenu mmeipanga kutokana na mkumbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.