Neno linasema, "NIITE NAMI NITAKUITIKIA, NAMI NITAKUONYESHA MAMBO MAKUBWA, MAGUMU USIYOYAJUA."
Neno la Mungu katika kitabu cha YEREMIA linatuonesha kwamba nabii Yeremia alikuwa mfungwa wakati huo.
Alikuwa amefungwa ndani ya uwanda wa walinzi, uliokuwa katika nyumba ya mfalme wa Yuda na wakati...
SEHEMU AMBAYO HAIKUPI UHURU SIO SEHEMU SAHIHI.
Maisha mazuri ni yale yanayokupa uhuru wa kuishi vile unavyotaka bila shinikizo kutoka upande wowote wa dunia.
Ikiwa katika mahusiano, kazi/ajira au katika maisha ya kila siku kama vile urafiki na familia unapoona hakuna uhuru using'ang'anie...
𝗗𝗔𝗗𝗔 𝗧𝗔𝗙𝗨𝗧𝗔 𝗘𝗟𝗔, 𝗞𝗨𝗢𝗟𝗘𝗪𝗔 𝗦𝗜𝗢 𝗔𝗝𝗜𝗥𝗔.
Dada hatakama maisha magumu na huna kazi ila usiharakie kuolewa kama back-up ya kupata msaada wa mume.
Olewa kama ni mapenzi na mipango ya pamoja kati yako na mwenza wako kuishi pamoja maisha ya ndoa. Ndoa sio ajira.
Ingia kwenye ndoa kwasababu za kihisia...
KAMA FAMILIA YENU MNAISHI KWA UPENDO, MSHUKURUNI SANA MUNGU.
Miaka ya nyuma pindi tunakuwa kwa kiasi kikubwa familia nyingi zilikuwa na upendo, maelewano, na kutembeleana mara kwa mara.
Lakini leo hii mambo yamebadilika ndugu wengi wamekuwa na hali ya kutoelewana, kuchukiana au hata kutoonana...
PESA HAITAKI WATU WENYE SHIDA, INATAKA WATU WENYE SULUHISHO.
Pesa ina njia zake. Ina tabia ya kupita mbali na mtu anayelalamika, anayetafuta msaada kila wakati, au anayeomba omba na kulialia shida kila mara.
Lakini ina tabia ya kumtembelea kwa ukaribu mtu anayetoa thamani, anayeleta...
MUNGU ANAMPA KILA MTU KWA NAMNA YAKE.
Mungu wetu ni mwaminifu sana na anampa kila mtu kwa namna yake na si kwa jinsi tunavyotaka sisi binadamu.
Mungu umpa kila mtu kulingana na hekima yake, wakati wake, na mpango wake maalum kwa maisha ya kila mmoja wetu.
Kama ilivyoelezwa katika Biblia
1...
USIMCHUKIE BABA YAKO HUJUI SABABU GANI ILIPELEKEA AKAACHANA NA MAMA YAKO.
Chukua hizi busara zitunze kwenye moyo wako na uzitumie, zitaweza kukusaidia katika safari yako ya maisha.
Ni kawaida sana kuona watoto wengi waliolelewa na mama au ndugu wa upande wa mama kukosa mapenzi kwa baba zao...
MAISHA NDANI YA UMASIKINI NI DARASA TOSHA.
Kuna msemo unasema, "Umasikini ni mbaya tena unatia haya." Nami nakubali kwamba umasikini ni mbaya sana, tena siupendi.
Kwa wale waliopitia maisha ya umasikini au wale wanaopitia sasa maisha ya umasikini wanaweza kunielewa vizuri bila shaka.
Lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.