Kumekuwa na malalamiko mengi ya wapinzani wakishutumu vyombo vya habari kwa kukwepa kutoa habari za Loliondo haswa zinazohusu upande wa Wamasai.
Lakini cha ajabu zaidi ni gazeti la Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe limekuwa kama Uhuru au mzalendo nao wamejitia upofu kama hawaoni...
Tanzania kuna watu wengi kwenye nyanja mbalimbali ambao wamefanya makubwa kwenye nchi lakini hawatajwi wala kupewa heshima wanayostahili.
Sasa mimi nitawataja wachache na yoyote anaemjua mtu aliyefanya jambo kubwa aongezee.
P Funk Majani
Huyu ndio baba wa bongofleva. Formula tunayotumia sasa...
Hapo kuna mtu kamzidi mwenzie likes ila kuuza bado sana pamoja na kutumia jina la kajala Ila bado anakimbizwa.
Nb: Hizo ni projects zao za mwisho, mmoja Ep ya nyimbo 9 mwingine ana album yenye nyimbo 20 zingine za kumtukana chui na simba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.