Recent content by Mr General

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Siha na Diwani wa Kata ya Garagua, ametangaza kujiuzulu

    Poleni wana Chadema.Hii nayo itapita tu!!?????
  2. M

    JamiiForums Tanzania Familia yamshukuru Mungu Lissu kupona

    Amen
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mwanadamu hupenda asichokuwa nacho, ipo siku Rais Magufuli atakumbukwa

    mh kweli!!!???
  4. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA John Nyerere afariki dunia

    R.i.p john
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vita ya Urais sasa ni Live bila chenga: Ni kati ya Lowassa, Membe na Wassira

    Sijaona mgombea urais hapo wote
  6. M

    JamiiForums Tanzania Yupi Kati ya hawa ungependa awe rais wa Tanzania 2015?

    Kama watanzania tungekuwa na mawazo kama yangu.Delete CCM
  7. M

    JamiiForums Tanzania Chenge ajiuzulu nafasi ya uwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti

    Ndo za wana wa CCM kujiuzulu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri Wenu Wapendwa

    homa ya kawaida tu lakini sio mara mara
  9. M

    JamiiForums Tanzania Calling for Oustanding Young Leaders

    Hakuna dalili yoyote ile inayotokea tangu vipere hivyo vitokee.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri Wenu Wapendwa

    Nimepatwa na vipere(sundosundo) katika sehemu za siri kwenye ringi ya uume.Ni miaka 4 sasa nimetumia baadhi ya dawa za kuchua sioni mafanikio ya vipere hivyo kutoweka.Nifanye je?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nikumbusheni jamani.

    Msanii gani bongo fleva aliyeimba wimbo wake katika kiitikio chake kinasema;'Wanawake wa vijini ni bora walio mjini,Sikutaka kuoa tena nikiwa sina pesa'.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane Nyimbo za Bongo Flava Zilizotamba enzi za 2000-2008

    Na JOHN MGEMA aka Bomba la mvua WACHUMBA 30 Iikuwa full shangwe
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa sehemu za siri

    Nahitaji tiba na ushauri kuhusu hili.Kuna vipele(sundosundo) vimetokea sehem za siri kwenye ringi ya ume wala haviwashi ni miaka 5 sasa. Nimetumia baadhi ya dawa sioni mafanikio yoyote zikiwemo za magonjwa ya zinaa.
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    Nimekuwa katika mahusiano na binti mmoja.Tumekaa nae kama miaka 4 bila kufanya nae tendo la ndoa kipindi hicho bado tunasoma.Baadhi ya marafiki wanasema kuwa ana HIV.Lakini naogopa kumwambia wasemavyo.Na yeye bado ananipenda.Nami nilishahamisha mawazo kwake.Nifanye je?
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki.

    Mimi ni kijana mwenye umri wa 21 natafuta marafiki.
Back
Top Bottom