Recent content by Mr Fresh

  1. Mr Fresh

    Mlioko Dubai mnaishije?

    Inategemeana na location Uliyonunulia mkuu. Supermarkets nyingi za mtaani unapata chupa 6 za lita 1 na nusu kwa dirham 5 tu ambayo ni kama 3400 Tshs ya bongo.
  2. Mr Fresh

    Kwanini Mwanza Wanauza magari bei rahisi kuliko Dar es Salaam?

    Kama ni hizi used bongo kabla huzijanunua inabidi uwafollow madalali hata 20 huko instagram ndo unaweza bahatisha ukampata dalali mwenye bei ya chini kidogo
  3. Mr Fresh

    Kwanini Mwanza Wanauza magari bei rahisi kuliko Dar es Salaam?

    Madalali wa dar ndo wanafanya huu upuuzi wa kupandisha sana bei za magari,yani dalali anaweka mil 2 hadi 3 kwenye gari used bongo ya mil 8 .ila madalali wa mwanza naona hawana tamaa kubwa kama hawa wa dar
  4. Mr Fresh

    Mambo 6 Muhimu Ya Kuzingatia Unapofanya Analysis Ya NFT project

    NFTs(non fungible assets) ni digital assets kama picha,videos,audios,in game items,collectibles n.k ambazo zimehifadhiwa kwenye blockchain.Nfts Zinaweza kuuzwa na kununuliwa,kuhamishwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda mwingine au kukodishwa kama mali yoyote ya ulimwengu halisi Kazi kubwa ya Nfts ni...
  5. Mr Fresh

    Mambo 6 Muhimu Ya Kuzingatia Unapofanya Analysis Ya NFT project

    Huenda unatamani kununua nfts lkn bado hujajua uanzie wapi kufanya utafiti wako,hujui uzingatie nini kwanza ili usije kupoteza pesa yako kwa kununua project mbovu ya Nft.Basi kama hilo ndo tatizo lako leo nimekuletea ufumbuzi.ila kabla sijakueleza huu mchongo jua kabisaa kuna watu wanatrade hizi...
  6. Mr Fresh

    Njia nzuri ya kujifunza Crypto currency

    Njia nzuri zaidi ni kujiunga kwenye communities ambazo wanadeal na cryptocurrencies kila siku,tafuta whatsapp groups,telegram groups au reddit communities kisha baada ya hapo fuatilia vzr wanavyovijadili Unaweza kuanzia hapa: https://chat.whatsapp.com/KfDobw3Y8JKCVnOZUrXU7N
  7. Mr Fresh

    Jinsi ya kutengeneza pesa mpya kipindi soko la Cryptocurrency linapokuwa chini

    Japo thamani nzima ya soko la crypto imeshuka wiki hizi chache kutoka dola za kimarekani 2.4 Trilion mpaka $1.7 Trillion. lakini bado soko hili linakupatia nafasi nyingi za kutengeneza pesa kupitia holdings zako. Make your money go to work now.. Hizi ndo njia ambazo zinaweza kukufanya uendelee...
  8. Mr Fresh

    Jinsi ya kununua ardhi kwenye Metaverse (Decentraland)

    Mfano wa land ni kama huu hapa chini,unaweza kuona mifano mingi zaidi ukiingia kwenye hii link https://market.decentraland.org/
  9. Mr Fresh

    Epuka Makosa Yafuatayo Kama Umeamua kuanza Biashara ya Cryptocurrency

    Huwezi kufahamu hizi theory kama huhold coins nimeandika kulingana na uzoefu nilioupata kupitia soko la cryptocurrency
  10. Mr Fresh

    Jinsi ya kununua ardhi kwenye Metaverse (Decentraland)

    Atarithi yoyote yule ambaye utakayemuachia phrases za siri za wallet yako
  11. Mr Fresh

    Epuka Makosa Yafuatayo Kama Umeamua kuanza Biashara ya Cryptocurrency

    Mara nyingine huwa inaumiza sana kutazama watu wapya katika biashara ya crypto wakifanya makosa ambayo yanawapelekea kukata tamaa au kupoteza mitaji yao Japo haikuhitaji kuwa mtaalamu sana ili ufaidike na cryptocurrency lakini kuna mambo kadhaa ya msingi unapaswa kuyafahamu Leo nitakufundisha...
  12. Mr Fresh

    Hebu Tuiongelee 'Solana Project' Leo

    Solana ni smart contract blockchain ambayo inatumia Proof of Stake(POS) mechanism kama zilivyo etherium na Cardano. Isipokuwa Solana imeongezewa mechanism/protocal nyingine ambayo inaitwa Proof of History(PoH) ili kuiongezea hii blockchain speed zaidi. Solana Blockchain ndiyo inabeba na...
  13. Mr Fresh

    Je, unapaswa kufanya nini wakati soko la Cryptocurrency linapokuwa chini?

    Bei za Cryptocurrency zimeshuka katika miezi ya hivi karibuni, na Bitcoin (BTC) ikipoteza zaidi ya 35% tangu tarehe 11 November 2021. Licha ya kushuka kwa kasi kwa wiki hii, Bitcoin bado iko juu karibu 40% Tangu January 1 mwaka 2021. Mabadiliko haya hayamainishi kwamba soko liko chini sana kwa...
  14. Mr Fresh

    Nini Maana Ya DAO's/DAC Kwenye Crypto Na kwa Nini Unapaswa kuzifahamu?

    Ulishawahi kuwaza ni njia gani rahisi ya kuungana na watu tofauti duniani kama kikundi bila kufahamiana na kupanga malengo au sheria zenu pamoja huku sheria hizo zikisimamiwa na blockchain Basi hicho ndicho kinachofanywa na DAO's katika ulimwengu wa Crypto DAO(Decentralized Autonomous...
  15. Mr Fresh

    Jinsi ya kununua ardhi kwenye Metaverse (Decentraland)

    Metaverse ni ulimwengu wa 3D wa kidigitali ambao umetengenezwa kwa mifano ya vitu vyote vilivyopo kwenye dunia tunayoishi kwa sasa. kupitia Metaverse watu wataweza kukutana,kushiriki michezo,kufanya kazi,kujenga miundombinu mipya na kufanya biashara mbalimbali October 2021, Kampuni ya Facebook...
Back
Top Bottom