Uwezo wa mwana FA ni mdogo sana na hii ni moja ya legacy ya magufuli msimu uliopita yeye na karia walikusudia kuharibu ligi maksudi ili tu simba achukue kombe baada ya kugundua hana quality ya kushindana na Simba uwanjani na kama wangefanikiwa ingekuwa a new normal
Hii kubebwa bebwa ndo...
Hili ingekua Yanga TFF ingesambaza jana ileile kwa wachambuzi wao wa mchongo ila bahati shetan i wa wote leo kapiga kambi kwa mtoto wao.
Jemedari said angekuwa ameshaandika nyaraka za kuilaani yanga
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.