Recent content by Mr Dhaifu

  1. Mr Dhaifu

    Dawa ya wadudu wanaokula mbao ni ipi?

    Kuna yoyote aliyefanikiwa kuondoa wadudu wanaokula mbao darini maaní
  2. Mr Dhaifu

    Vifaa vya magari vinapatikana mtandao gani hapa nchini?

    Nahitaji kitasa Cha nje Cha Carina TI rangi grey.
  3. Mr Dhaifu

    Uchumi wa Tanzania Waporomoka kutoka 6.9% hadi 4.7% kutokana na Corona

    Kama hivyo ndivyo ilikuwaje Imf na WB watangaze tupo uchumi wa Kati nahisi no mbinu tu inamaana hili kilikuwa halijulikani acheni uongo aisee
  4. Mr Dhaifu

    Tuliwaambiaga mkatupinga na mkatukatalia. Sasa wote tunaona jinsi Rais Samia anavyorekebisha

    Your Right naona wachangiaji wengi wanashangilia kubembelezwa kwenye suala la ulipaji Kodi,bado Tanzania hatuja fikia hatua ya mlipa Kodi kuonafahali kulipa Kodi kwa hiari Kwanza wafanyabiashara wetu wanafikiria namna ya kukwepa kodi yaani sio Kodi tu mtu Kwanza anafikiria hata kuiba umeme wa...
  5. Mr Dhaifu

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Hivi wakuu ni app gani inaweza kuhide app zingine zisionekane katika screen
  6. Mr Dhaifu

    Kwa ujenzi huu wa stendi Kahama

    Kahama wanatakiwa wawe na stend nzuri yenye hadhi kuliko zote Tanzania kwakuwa vyanzo vya mapata wanavyo hasa migodi
  7. Mr Dhaifu

    Matundu 19 ya Risasi Katika Gari ya Tundu Lissu.. Hao wahalifu hawana mafunzo ya kitaalamu ya silaha!

    Kwa hiyo wakiwa na hasira ndio ndio uchambuzi usifanyike? Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Mr Dhaifu

    Kauli ya Mbunge wa Msalala, Ezekiel Maige baada ya ACACIA kutangaza kupunguza Shughuli zake katika mgodi wa Bulyanhulu

    Inakuwaje makinikia yanapunguza uzalishaji na kuadhiri pato LA ACACIA wakati matakataka michanga mabaki ya dhahabu hayana thamani kwao maana walisema hayo hutolewa baada ya dhahabu kuondolewa Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Mr Dhaifu

    Hii Kampeni ya RC Dar ya Kuchangia Ofisi za Walimu na Miundombinu Mingine ni Jambo la Kupongezwa!

    Chukua hiyo katiba mpya nani kakunyima sasa Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Mr Dhaifu

    Tetesi: Lissu kuongoza jopo la mawakili 29 kumtetea Bi. Fatuma Karume

    Hivi ilikuwaje police hawakukala denda kabisa haka ka mbaombao kamfupa na ngozi ili kaende mahakamani vizuri!!
  11. Mr Dhaifu

    Sakata la makinikia: Mpaka sasa ACACIA wameshajibu na kutolea ufafanuzi tuhuma zote

    Hivi MTU unamali uliyomshika nayo mwizi unahitaji makaratasi ya nani udhibitisha kilicho ibiwa??yaani ukubali makaratasi tu yenye maandishi kila MTU anaandika tu.Mali IPO tuliyomkamata nayo mwizi kwetu ni malontena yenye makinikia
  12. Mr Dhaifu

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Wenywenye akili wanajua Magufuli anafanyanini wapigaji ndio wanalia kila siku wazalendo wa nchi hii tunatamani Magufuli aendelee miaka 20 ijayo tubadili katiba
Back
Top Bottom