Je hata kama wamejenga mabondeni, kama kiongozi kuyasema hayo ni sahihi?
Itakapo tokea siku wakalipuliwa watu kwa mabomu alafu polisi wakajibu tulishatoa tahadhari je watanzania watawaelewa?
we mbulula kweli rafki yangu, kumbe wamekopa? si zitarudi sasa, kilaza sana wewe mi nilidhani wameiba kumbe ni mkopo? serikali ya ma CCM inakopa sembuse katibu mkuu na mh lemma? leta hoja myingine acha wenge jombii
Ninyi raia mwema na munaochangia baadhi yenu. ....................
Zingatieni kuwa,,mada ni ya mabillioni ya uswizi yanaingilianaje na jumba la mboweeee????
awapeleke mahakamani. vita iliyowashinda akina nape mwigulu akina kinana wassira na wenziye yeye atauweza mziki wa chadema?????????? wanasisiemu bhana duh
tatizo la mtoa hoja amejikita ktk kulaumu wanachadema na kutaka kama vile kuchukua hatua. binafsi sitaki kupinga labda una ushaidi ama chuki au malengo yako pekee ktk uzi huo. kwangu mimi, ebu andaa uzi mwingine na ktk vigezo hvo hvo mlinganishe na umlinganue na first lady wa ndugu alafu tuamue...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.