Unaona kama hajakuambia kitu cha msingi sana, unachukulia rahisi sana kugawana share za kampuni na kumpata mmiliki mpya wa kampuni, hufikirii kugawana mpaka samani za ofisi,
Bro mtoto haruhusiwi kuwa shareholder wa kampuni nafikiri kuanzia 18+
Sent using Jamii Forums mobile app
Kukudekeza na kukuonyesha kuwa nakupenda siyo kigezo cha kuwa mwaminifu kwako, uaminifu ni kuonyesha heshima hata kipindi ambacho uko mbali na upeo wa macho yangu, gent ni tabia siyo show off
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante: nawasilisha
Ila Kama umeelewa mistari yote hiyo umeshindwa kuvunga huo mmoja tu, mbona tunaongea na wazungu tunapiga broken na hawaturekebishi wanaelewa frexh na maisha yanasonga, sisi tunafeli wapi??
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa
Ila kama hadi kuvua samaki bado tunavuliwa na watu wengine ili kukidhi mahitaji ya nyumbani, haiwezi kuwa haraka kwa mtz kutatua hili, mtz labda tunaweza kufuga samaki ambao inachukua mwaka mzima ili kuvuna
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.