Recent content by Mr Dadu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

    Tumia akili acha upoyoyo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mimi nipo Iringa, nahitaji kwenda Kakola kutafuta maisha, sipajui na sijawahi kufika

    Nilipata shida ndugu, ya dunia ni mengi, kesho naanza safari ya kurudi no 9.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mtambo Mpya wa Ufuatiliaji Mawasiliano nchini (TTMS): Kwanini sasa? Nini kipya?

    Tutajie na jina la alievunjika miguu. Kumbe wewe c wa mchezo mchezo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Urais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania 2020 Lissu anatosha

    Sh.enz type
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mimi nipo Iringa, nahitaji kwenda Kakola kutafuta maisha, sipajui na sijawahi kufika

    Nilikuwa kimya sana, nilipata msiba, nkafiwa na mamaangu, ikabidi nirudi nyumbani. Ila next week kuanzia juma5 nitarudi rasmi. Maana kama ni survey nilishafanya ya kutosha na maamzi nilishachukua.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mke agomea talaka ya DC. Adai hajawahi kutoa matunzo kwa mtoto kwa miaka18

    Odunga yeye ni msabato, na wasabato ni mke mmoja na c wake wawili ama zaidi
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mke agomea talaka ya DC. Adai hajawahi kutoa matunzo kwa mtoto kwa miaka18

    Sijui nani alimshauli huyu DC akafungue kesi
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mke agomea talaka ya DC. Adai hajawahi kutoa matunzo kwa mtoto kwa miaka18

    Mbaya zaidi kesi zote yeye ndie kafubgua, matokeo yake zmemgeukia. DC mzma hajui kuwa siku hz mwanamke anasikilizwa sana. Badala ya kusubili wao ndio wafungue kesi, yy tena anaenda kuwafungulia kesi
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Erick Kabendera ashtakiwa kwa Kujihusisha na mtandao wa uhalifu, ukwepaji kodi na kutakatisha fedha haramu

    Inaumiza sana sana, wajuvi wa mambo mtutabainishie, kukundi cha kihalifu alichokuwa akiongoza ni kipi? Na kilihusika na uhalifu upi?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Zitto: We are happy that you are strong Eric

    Nadhan hvo ndio viwanda vya awamu hii. Very sad.
Back
Top Bottom