Recent content by Mr Daddy

  1. M

    Bans

    yes u did. when r u coming home?
  2. M

    Bans

    i havent. you ran away.
  3. M

    Bans

    never mind. shes here now. hip hip hooray.
  4. M

    Bans

    hip hip hooray
  5. M

    Bans

    Have u seen daddys babygal?
  6. M

    Bans

    Babygal...
  7. M

    WanaJF wa MMU tumoderate jukwaa letu

    Wala hamna ugumu wowote hapo. Case closed.
  8. M

    WanaJF wa MMU tumoderate jukwaa letu

    I am still bewildered as to why it was trashed!! For all I know I didn't break any rule(s). All I said in it was I miss BabyGal, who is also a member here. Similar threads in the past have been moved to the Chit-Chat section. But mine wasn't. Now you tell me....
  9. M

    WanaJF wa MMU tumoderate jukwaa letu

    Watu utadhani wana lie detector tests humu...
  10. M

    WanaJF wa MMU tumoderate jukwaa letu

    Yaani jamaa anachemka laivu kwenye chaneli zote bila hata ya chenga! Watu kamwe hatuwezi kufanana kimtazamo.
  11. M

    WanaJF wa MMU tumoderate jukwaa letu

    Kwa hiyo kosa ni hizo mada kukosa mantiki au kosa ni nini hasa?
  12. M

    WanaJF wa MMU tumoderate jukwaa letu

    Hapa karibu kila kitu ni hiari! Hulazimiki kumshauri mtu kama huna cha kumshauri au kama unaona alichouliza hakina mantiki. Wewe potezea tu na sepa kwingine ambako unaona unaweza ukatoa mchango wako. Kama mada kwako ni ya kijinga basi iache tu. Waachie wajinga waiendeleze. Wewe sepa kwa werevu...
  13. M

    WanaJF wa MMU tumoderate jukwaa letu

    Hakukuwa na lugha chafu katika hizo mada zote mbili ambazo umezitolea mfano. Na madhali hazikuvunja sheria za JF mimi sikuona kama zina ubaya wowote. Nilizisoma na nilipoona sina la kuchangia wala sikujihangaisha. Niliendelea kwingine tu. The motto of this forum is where we dare talk openly. So...
  14. M

    WanaJF wa MMU tumoderate jukwaa letu

    Maneno kuntu sana hayo!
Back
Top Bottom