Syo kusaidia Sema amewasilisha hoja na kero ngap za wana Nchi Wa Jimbo lake. Si kusaidia ndo majkm yake.. Na kama kapeleka kero za wana Nchi ila pesa ya budget haijaenda ulitaka atoe yake mfukon
Kwan wanaangalia had ulpotoka
Duuh sasa Mkuu na rufaa Bado then chuo kshafnguliwa Duuh. Yaan jina limetoka mzaz/mlez ashajua Kuwa Tayar ..ushapata Leo unamwambia jina halipo kwel?
Jaman Nchi hii S wapo tuliowasomesha tena kwa pesa ya walipa kodi mambo ya international relationship kwann hawazungumzii Haya mambo au field zao zpo wapi na wana aply wap
Sio kulalamika...
Hakuna kitu muhim kwa mtt Wa maskn kulko Elim.. Au Unataka kila sku yeye awe mkoroga zege.. Na asiweze kupewa tenda.. Unataka yy asiweze teuliwa hata Kuwa afisa mtendaji.au Ndio mnataka wenu wasome ili waje kukaa sehem nzuri. Ila wetu wawe vibarua na wabeba mizigo..
Suala la...
Yaan Mkuu mtu kaambatanisha vyeti vyote vi wili vya vifo tena vilivyo Kuwa certified na RITA.. Lakn Bado wamesema No vigezo. Kisa kamalza 2016. Form six
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.