Recent content by Mr chammi

  1. Mr chammi

    JamiiForums Tanzania Kuchepuka raha

    Yani hapo hiv sasa ivi unakuja nayo nyumbani kwani hakuna pa kumshtakia kama unamkuta na ushaidi ? Hilo siyo jawabu cha msingi kaa na mumeo mjemhe maisha atabadilika tuuu
  2. Mr chammi

    JamiiForums Tanzania Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

    Ni kodi zenu sawa ndo mvunje sheria??kwa vile ni kodi zenu shuleni si mlikuwa mnapeleka rimu kwa ajili ya matumizi ya mitihani kuna siku ulipewa alama 100%kuwa mwalimu amekupa baada ya kuwa mpeleka rimu bora???
  3. Mr chammi

    JamiiForums Tanzania Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

    Hana kazi kwa lipi kwani kakosea nini hyo smg kamnyooshea mtuu achemi ushabiki bana.. ina maana kwa vile alikuwa waziri ndo avunje sheria??
  4. Mr chammi

    JamiiForums Tanzania Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

    Kwani angefuata sheria hayo yote yangetoka wap
  5. Mr chammi

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Naoaana hawapo seriously
  6. Mr chammi

    JamiiForums Tanzania Aliyekutenda alishawahi kurudi kwako na kuomba mrudiane?

    Duuu hyoo balaaa
Back
Top Bottom