Wabongo tunapenda sana kuzungumza vitu tusivyovijua, ukisha google na kusoma website 2-3 unajiona unajua na kuchangia mada kama mjuzi. Hii yote ni wivu, tukidhani Antorio atapata sana kwa hizo ada. Hatuangalii manufaa ambayo yataweza kupatikana kwa hayo madarasa.
Ngoja nikuambie bro, hizi...
Ni rahisi. Mfano leo Bongo US$ 1 inauzwa kwa tshs 2250 na kununuliwa kwa tshs 2200. Sasa mtu anaweza kutarajia Dola itapanda thamani kwa maana kufikia kuuzwa kwa tshs 3000 ifikapo December mwaka huu, hivyo akanunua sasa hivi labda dola zake 1000. Atakuwa ametumia tshs 2,250,000. Akasubiri...
Kumbe kujifunza Forex unataka halafu unajitia kujua kwa kueleza uwongo! Two ways you can learn bro:
1. Google + youtube. Kuna madesa chungu nzima...muda wako tu. Kikubwa utahitaji broker...wabongo tuliowengi tunawatumia www.XM.com lkn wapo mamia dunia nzima...just google utawaona.
2. Find a...
Wahenga wakidhungu wanasema "when a wise man points at the moon, a fool looks at the finger". Nimetumia C&F kama mfano, ila wewe kwa ujinga ukauchukulia kama ujumbe husika ktk haya majadiliano.
Ontario wewe piga kazi...uzuri wa huu uzi upo labda Jamiiforum ife, watakuja kushuhudia humu ukweli...
Wabongo tubadilike aisee...what wrong with him starting a brokerage???? Hivi nikikushawishi ununue gari kutoka Japan kwa vile mimi ni clearing & forwarding agent utaacha kuagiza kwa sababu utaninufaisha mimi kwa fee yako isiyozidi $200 ukaacha kuangalia unafuu na manufaa utakayopata kwa hilo...
Kaka uko sahihi, na inaoneka kibiriti kimeshakupitia (kama successful traders wengi wengineo) ukawa muoga na kumezwa na propaganda za walioshindwa. Ila pia wapo wanaoendelea kufanikiwa kwa mamilioni dunia nzima, nafikiri tutamani kuwa kama wao kuliko kufikiria kushindwa.
Ofcoz hakuna biashara...
Ahsante sana kaka kwa kushawishi na kuleta hii fursa isiyojali hali ya uchumi wa nchi kama zetu ili kufanikiwa. Kwa ufupi watu waache kusema vitu wasivyovijua...wapo wabongo ambao wana trade FX kitambo na wanafanikiwa na wapo waliofeli na kukimbia. Hii kitu ni real na sio utapeli, jielimishe tu...
JOB DESCRIPTION:
You love to develop software? You have an eye for good-looking design? Look, Feel and Usability must be in line? Its important for you to have a dialogue between User and Service? Your Mock-ups & Wireframes implemented is highest motivation. And you want to be part of a...
Below are 15 of 999 Fresh Vacancies for you to Apply. Their description and requirement are here, for how to apply and MORE jobs visit www.kazi999.com, where you will be able to filter jobs according to your profession and location.
Here we go
PROJECT MANAGER
SNV Netherlands Development...
Assistant Accountant
Reporting To: Senior Accountant
Qualifications & Experience
1. Minimum Advanced Diploma in Accountancy.
2. 1 - 2 years experience in a large organisation, ideally within a trading company
3. Good knowledge of Tally and Excel
4. Ability to work individually and in a team with...
HUMAN RESOURCES MANAGER
Duty Station: EWURA Head Office - Dar es Salaam
Reports to: Director of Corporate Affairs
Human Resources Manager will be responsible for carrying out monitoring and supervision of overall human resources functions of the Authority.
MAIN DUTIES AND RESPONSIBILITIES:
a)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.