Recent content by mr c

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuna haja gani ya kuweka gharama kubwa kwenye magari yanayotumia majina badala ya plate namba?

    Huenda! Ila hatukupaswa kuwa huku kwa kodi,wenye Bandari sio wanufaika kabisa yani basi waweke hata mdaharo unaohusu mambo ya kodi walau ikusanye mawazo
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sheria za Kodi kwa Tanzania sijui aliwekewa Mtanzania gani

    Habarini Kiufupi kodi sio rafiki kwa Mtanzania leo ukitaga kuagiza ka gari used mfano ist ni mil 16,wakati ilikua mil 10 sawa rates imepanda na mafuta yamepanda je mlichukua hatua gani ku balance isifike kiasi hicho? Import duty %25 Excise duty for aged vehicles %30 Vat %18 Railway...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kuna haja gani ya kuweka gharama kubwa kwenye magari yanayotumia majina badala ya plate namba?

    Habarini wadau! Hivi kuna haja gani kuendelea kuchaji pesa nyingi kwa ajili ya kuweka jina kwa (plates namba) now ni milioni 5 kwa muda wa miaka mi3 Kama muitikio mdogo punguzeni gharama ili Serikali yetu ipate mapato zaidi ukifikiria sana Serikali yetu kuhusu kodi kama haina shida nayo na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali: Iruhusu mabasi binafsi ya kubeba wanafunzi yasilipe kodi

    Habari wana jamvi! Moja kwa moja kwenye hoja ni hivi nna wazo kama inawezekana ikapitishwa shaur bungeni kuhusu mabasi binafsi ya Wanafunzi na yaingie kwa msamaha wa kodi kwa kuwa nauli ya Mwanafunzi ni ndogo kama inawezekana au mwenye uelewa zaidi aiweke sawa Matajiri tunao na wanauwezo wa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali: Iruhusu mabasi binafsi ya kubeba wanafunzi yasilipe kodi

    Habari wana jamvi! Moja kwa moja kwenye hoja ni hivi nna wazo kama inawezekana ikapitishwa shauri bungeni kuhusu mabasi binafsi ya Wanafunzi na yaingie kwa msamaha wa kodi kwa kuwa nauli ya Mwanafunzi ni ndogo kama inawezekana au mwenye uelewa zaidi aiweke sawa Matajiri tunao na wana uwezo wa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam kashapewa mwarabu kuiendesha. RIP Magufuli, Watanzania tukakukumbuka daima

    Kwa taarifa yako hayo mapato yaliongezeka kwa kudai madeni kwa madeni ya kampuni Walizifungia Kampuni za Clearing kwa kuzilazimisha zilipe madeni kwani kunasemekana kulikua na kampuni hazikua zinalipa HANDLING NA WHARFAGE na hyo ilitokana na baadhi ya waajiriwa wa TPA kutokuwa waaminif ila sio...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam kashapewa mwarabu kuiendesha. RIP Magufuli, Watanzania tukakukumbuka daima

    Usipende story za kuambiwa! TPA NA TICTS kwenye utendaji mzur ni TICTS wana vifaa vya kisasa,ishu ya ukaguzi TPA ni janga kuwekewa container chini upambane sana,unaambiwa mashine ipo inashusha mzigo wa meli! TPA kupata invoice kwa ajili ya malipo ni ishu mpaka ukaonge pesa imelalamikwa mpaka...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Dar es Salaam kashapewa mwarabu kuiendesha. RIP Magufuli, Watanzania tukakukumbuka daima

    Sawa wapo kwenye nchi yao! Shida nn
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kinana akerwa na Utitiri wa Traffic barabarani. Atoa maagizo mazito kwa Afande IGP Camilius Wambura

    Diesel na Petrol ndio suala la msingi wafanye wanavyojua vishuke bei hayo mengine tutapambana nayo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Misukosuko na changamoto niliyokutana nazo kipindi nimepanga Mbagala na Mwembechai

    Hapo mwembe chai kulikua na upuyu na mabula mtu na mdogo wake ilikua hatar sana kipande chao cha kuiba ilikua shulen Karume
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alishiriki filamu ya Royal Tour bila kinga ya heshima ya nchi. Tunashuhudia makosa ya kudhalilisha nchi

    [emoji3][emoji3][emoji3]na mm naongezea hatuna sababu za kupambana wala uwezo wa kushindana nao hatuna sasa ya niniii!!! Magari tunayotumia,vifaa kwa ajili ya kujilinda vya technology ya leo pia kwao Sometimes ukiwa mpinzan sana unapoteza maana na unapoteza wafuasi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia alishiriki filamu ya Royal Tour bila kinga ya heshima ya nchi. Tunashuhudia makosa ya kudhalilisha nchi

    Ku’act Movie [emoji327] au Filamu umeelewa maana ya hilo neno??? Litafakari kwanza mkuu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada gari yangu aina ya Toyota Porte Engine ku heat na kuzima ikiwa kwenye mwendo

    Yes inawaka na inatembea umbali mrefu kabla ya ku heat tena
  14. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada gari yangu aina ya Toyota Porte Engine ku heat na kuzima ikiwa kwenye mwendo

    Habar wajuzi wa mambo tatizo hilo linahusiana na nini ? Msaada please kwa mtaalam
  15. M

    JamiiForums Tanzania TRA: Kufuta Usajili wa Vyombo vya Moto

    Wanafanya hivyo kwa kuwa wana viwanda vingi,wasiendelee kuchafua hewa na sisi hatuna viwanda vingi so hatuchafui hewa’wastan’
Back
Top Bottom