Recent content by Mr bizy man

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu mtu mweusi wazungu hawataki dunia ijue

    Binafsi naona uwezo tulipewa sawa tatizo linakuja kwenye kutumia uwezo tuliopewa kdg ngozi nyeusi tulibaki nyuma na weupe wakatumia mwanya huohuo kutusupress mpk ss hvi, ila mungu ktk uumbaji hakupendelea ni mazingira
  2. M

    JamiiForums Tanzania Siendi Kanisani, Msikitini wala popote kusali! Mungu yupi ananibariki?

    sio kweli kwamba hujui ni mungu yupi anakubariki, mshkuru sana kwa kukupa ata kile ambacho hukukiomba, mungu ni wa ajabu sana hubariki bila kujali, ila usijudge imani ya mtu mwingine itetee nafsi yako
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Huna chakupost nn mkubwa, tulia
  4. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya mashambulizi: Tumerejea hewani, Tupo imara zaidi!

    Mungu yupo nasi,niliishiwa nguvu kuona hampo hwani ila finaly maisha yanaenda vzr
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wiki ya mwisho ya kampeni: Magufuli na CCM wanafanya makosa ya kiufundi

    Makosa yakiufundi ni pamoja na kukatakata umeme na tra kutuzungukia sana mitaani, hasira inapanda mbaya kabisa
  6. M

    JamiiForums Tanzania Al Jazeera na CNN wawasili Tanzania kuripoti matokeo Uchaguzi Mkuu

    haha na kibaya hawanunuliki
  7. M

    JamiiForums Tanzania Huyu si Lowassa ambaye UKAWA tulimtaka

    huna point ww unawataftia fisiem sera,,,hatuendi kwenye mikutano kuangalia wasanii tungeenda club na kwenye show
  8. M

    JamiiForums Tanzania ITV mtuletee taarifa ya mkutano wa UKAWA Arusha kama mlivyotuahidi

    nawashukuru sanaitv kwakuniongezea hasira, hakika sitofanya makosa pale machinjoni
  9. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania; Hii jeuri ya kibiashara mnaitoa wapi?

    wametudharau sana wananchi wa kawaida
  10. M

    JamiiForums Tanzania Muathirika wa VVU anaweza kufanyiwa operation ya Kansa na kuendelea kuishi vizuri?

    Shukrani, ila ninajaribu kujua ukweli juu ya jambo hilo,
  11. M

    JamiiForums Tanzania Muathirika wa VVU anaweza kufanyiwa operation ya Kansa na kuendelea kuishi vizuri?

    Naomba kufahamu je mwathirika wa ugonjwa wa UKIMWI anaweza kufanyiwa upasuaji wa kansa kama ya titi na akazidi kusurvive? Msaada please.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Makanisa matatu yachomwa moto Bukoba leo Septemba 22,2015

    hata taarifa ya habari huanza na muhtasari
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mkoa gani Tanzania wenye uchawi wa kutisha na mkubwa zaidi?

    Tanga katika ubora wenu
Back
Top Bottom