Mkuu hapo umenipa moyo kidogo coz nami nataka nkarambe mkopo basic salary yangu ni 1.5M hapo naweza kopa kama sh ngapi kulingana na mahesabu waliokupa kama ntakopa na mkopo uishe baada ya miaka 3?
Sasa mkuu kama riba ni 18% afu akichukua 12mil maana yake atarejesha kama milion 14 na points ambapo ukiigawa kwa miez 36 inakuwa kama laki 3 na pesa flan iv,sasa ikiwa makato ni 433230 kwa mwezi huoni pesa itayorudishwa ni nyingi sana ambayo ni zaid ya 18%?
Wanajamvi naombeni kujuzwa, hivi huu mfuko wa PPF unatoa mikopo kwa mwanachama akishafikisha muda gani au mpaka afikishe kiasi gani kwenye makusanyo yao?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.