Recent content by Mr 211

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mabilioni ya mababu zetu waliofariki kabla ya kuletewa Uislam kwasasa Wapo Motoni au peponi?

    Kama hauna imani hilo ni suala lingine. Jaribu kwanza kuamini au amua kujifunza, kisha mengineyo. NB: Usijiumbie na kujiuliza maswali yasiyokuwepo.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hii Shida ya Mitandao ya simu iliyotokea leo, turuhusu Starlink iingie Tanzania

    Kwa kipindi hiki teknolojia ya Faiba hutumika kwaajili ya mawasiliano masafa marefu, ndio teknolojia iliyo bora zaidi. Faiba haiwezi pitishwa angani bara hadi bara, hupitishwa baharini.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hii Shida ya Mitandao ya simu iliyotokea leo, turuhusu Starlink iingie Tanzania

    Huelewi kitu wewe kaa kimya..
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hii Shida ya Mitandao ya simu iliyotokea leo, turuhusu Starlink iingie Tanzania

    Wacha kukurupuka wewe, Internet siyo huduma ya kisisasa, au kama umeme wa Tanesco, wala sio huduma ya Taifa fulani. Internet ni huduma ya kidunia, inayotolewa na ma ISP wakubwa duniani kuiunganisha dunia yote kuwa moja kimawasiliano ya kimtandao kupitia miundomibinu yao inayounganisha mabara...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mabilioni ya mababu zetu waliofariki kabla ya kuletewa Uislam kwasasa Wapo Motoni au peponi?

    Yesu kristo alikufa msalabani na siku ya tatu akafufuka, ili ulimwengu uokolewe kupitia yeye. Hakuna mwingne aliyekufa kwaajili ya ulimwengu. Huyu ndiye ufunguo wa uzima wa milele kwa wamwaminio wote, hakuna mwingine ila yeye. Ukimwamini utaokoka.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumkaribisha Muislamu nyama ambayo haikuchinjwa kidini?

    Mambo ya iman hayo, kila mmoja afuate imani yake ila imani ya mtu mmoja isiwe kero kwa wengine wasiyoiamini.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumkaribisha Muislamu nyama ambayo haikuchinjwa kidini?

    Lete hoja zenye kueleweka na upunguze hoja zenye mafundisho yenye chuki
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumkaribisha Muislamu nyama ambayo haikuchinjwa kidini?

    Hauna facts, ainisha hicho kitabu ueleweke wacha kubabaika
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumkaribisha Muislamu nyama ambayo haikuchinjwa kidini?

    Ko uhusiano upo.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumkaribisha Muislamu nyama ambayo haikuchinjwa kidini?

    Hiyo haram haikuumbwa na Allah? Sasa inakueje haramu? Unakula Bata, pweza kisha unamkosoa kitimoto?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumkaribisha Muislamu nyama ambayo haikuchinjwa kidini?

    Ko wao na majini wana uhusiano?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumkaribisha Muislamu nyama ambayo haikuchinjwa kidini?

    Kama sio kweli mwenye imani yake akujibu.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumkaribisha Muislamu nyama ambayo haikuchinjwa kidini?

    Kitimoto ni haramu pia kwa majini, penye kitimoto jini halikatishi.. Kuna uhusiano gani???
Back
Top Bottom