Recent content by Mpui Lyazumbi

  1. Mpui Lyazumbi

    Spika Ndugai: Kuna kiongozi kijana wa Serikali hajitambui na hajielewi

    Ndivyo clip na kwa hakika habari zilivyo mitandaoni. Imefikia hatua Spika anadai baadhi ya viongozi wa serikali (tena wadogo) wanamdanganya rais. Kwangu mimi naona kuna kutoheshimiana. Hivi hata kama rais amedanganywa unaanzaje kuja hadharani?
  2. Mpui Lyazumbi

    Tundu Lissu akataa Hard Talk ya Stephen Sackur tarehe 1 June,2019.

    Wewe ukimjua inatosha, achana na mambo ya BBC
  3. Mpui Lyazumbi

    Hotel inayotumia DSTV Mkoani kwako ni ipi?

    Hiki cha kwangu ni full package mkuu, na ushamba wangu ni kwamba niko ziarani kwa sasa. Baadhi ya hotel au guest house wamemdu kulipia kile cha 19,000/-. Usiteseke na ushamba wangu, teseka na kunisaidia hotel nilizouliza. Asante Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mpui Lyazumbi

    Hotel inayotumia DSTV Mkoani kwako ni ipi?

    Hii ina maana gani mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mpui Lyazumbi

    Hotel inayotumia DSTV Mkoani kwako ni ipi?

    Habari za siku nyingi humu ndani. Niko safarini kutembelea ndugu, jamaa na marafiki. Nina king'amuzi cha DSTV full package na natembea nacho. Ninachohitaji ni kujua Hotel au Guest house nzuri inayotumia mfumo huu. Nikifika natoa cha kwao naweka hiki ninachosafiri nacho. Leo nimelala makambako...
  6. Mpui Lyazumbi

    Asilimia 40 ya magoli waliyofungwa Madrid La Liga yamepitia kwa Marcelo.

    6/16 x 100=37.5%. Hiyo 40% umeitoa wapi? https://www.whoscored.com/Players/20241/Show/Marcelo
  7. Mpui Lyazumbi

    Kilichomtokea Kingunge kinaakisi maneno ya Katambi

    Ichunguze tena salam ya mwanasiasa
  8. Mpui Lyazumbi

    Yako wapi makovu ya risasi miguuni mwa Lissu?

    Makovu yako kwenye gari yake na yeye yuko hospitali. Nadhani umefurahi sasa
  9. Mpui Lyazumbi

    Ujumbe mzito toka kwa Askofu Shayo wa Tarehe 31 December 2017.

    Umenisoma vizuri tangu nilipoanza kukuuliza mkuu? Pitia vizuri post zangu. Kwa kweli hali kama ni hii ninayoiona kwako kama Taifa tuna hali mbaya sana. Ujumbe wa Baba Askofu uko wazi sana.
  10. Mpui Lyazumbi

    Ujumbe mzito toka kwa Askofu Shayo wa Tarehe 31 December 2017.

    Sasa sijui zwazwa ni lipi kati ya hayo mawili
  11. Mpui Lyazumbi

    Ujumbe mzito toka kwa Askofu Shayo wa Tarehe 31 December 2017.

    Ukimfunga miguu mchezaji na ukamlazimisha kuingia nae uwanjani kucheza mpira tukuiteje?
Back
Top Bottom