Recent content by Mpucha

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu za UDSM from 1970s to 1990s: Poisoned Letters na Mzee Punch

    Na lugha, hakika walijua kuandika lugha/kingereza chenye viwango
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hatukurupuki tukisema Wakristo Tanzania ni 70%+. Mikoa yenye Waislamu wengi ongeza Zanzibar iwe kama mkoa moja wa bara kiukubwa haifiki 25%.

    Mimi ni christian. Hizi takwimu zinakusaidia nini mfano, nijibu tu kwa upole.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dini zina maelezo gani kuhusu binadamu wa jamii tofauti kuwa na rangi tofauti?

    Rangi, kimo, maumbile hubadilika kutokana na mgawanyiko wa kijiografia, hali ya hewa, nk. Mwili una adapt. Mfano sisi tuliopo ikweta jua na upepo [melanin] limebadili ngozi zetu kuwa nyeusi ili kujikinga na hali hiyo. Hata mzungu aliye zaliwa na kukulia afrika, generation yake mf 4Th haitakua...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini kumekuwa na wimbi kubwa la wasichana kuonesha tupu zao mitandaoni?

    Hiyo biashara inalipa asikuambie mtu. Hawa wa dada unao waona ma dau yao 500,000 kwenda juu, na wateja wapo wa kutosha
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwa maelezo haya ya Dudu Baya ukiwa na hela bora ukatibiwe India

    Just imagine, unatoka Tanzania nchi yenye kila aina ya rasilimali unaenda Thailand kufuata tiba
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ndani ya Miaka 4 Tanzania yapindua meza,yateka soko na kuzigeuza nchi zote majirani kuwa gulio la bidhaa zetu

    Naomba mnisaidie, huku mtaani mbona hali ni mbaya bado
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mikoa 10 yenye uchumi mkubwa 2024; Mbeya yashika namba 3

    acha kuishi kwa kukariri, hebu lete takwimu zako kuthibitisha unacho kisema
  8. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Wananchi wakiimba 'hakuna muuaji kama Samia, hakuna na hata kuwepo'

    HUWEZI KUNYAMAZISHA WATU KWA MTUTU WA BUNDUKI. UTAUA 10, KESHO WATAIBUKA 50. NDIO KINACHOENDELEA KWA SASA
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wamakonde ndio wanaiweza kazi ya kutetea haki yao

    Historia pia inatuambia wamakonde wameshiriki pakubwa kwenye mapinduzi zanzibar
  10. M

    JamiiForums Tanzania Vile vifaru pale Lugalo jeshini vinatisha

    KIfaru ni silaha nzito, uitumue kwa waandamani wale wako mikono mitupu ?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Upige konyagi,ushushie na karanga za kukaanga kisha upande kwenye kiuno cha mtoto wa watu,unaweza kushtakiwa ICC kwa uhalifu wa kivita

    Ipo siku utafia guest ndugu. Mwanamke huwezi kumkomoa kwa sex
Back
Top Bottom