Recent content by Mportugal

  1. Mportugal

    JamiiForums Tanzania MSAADA WA KUJUA

    Wakuu kwema humu? mimi pia ninashida nataka kudownload movie toka you tube na kuisave kwenye folder kwa matumizi nikiwa offline, naombeni msaada hapo
  2. Mportugal

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kurudisha TV channels zilizotoka kwenye decoder ya media com

    ziko poa maana zinatoka na kurudi, nitawezaje kufanya hiyo blind scan? tafadhali bado nahitaji msaada hapo
  3. Mportugal

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kurudisha TV channels zilizotoka kwenye decoder ya media com

    Poleni na majukumu wana Jf, ninashida! Wazee wangu wanapata shida kila mara kumuita fundi kijijini kwasababu ya channel kutoka na kurudi kwenye decorder ya mediacom, naombeni msaada wadau ili niwasaidie wazee wangu kijijini.
  4. Mportugal

    JamiiForums Tanzania Ijue nophone, kifaa cha bei rahisi kuliko nokia ya tochi

    Ya nini sasa hii
  5. Mportugal

    JamiiForums Tanzania Je, Mwanao/Wanao umewapangia ratiba ya siku nzima?

    Sure selfreliance
  6. Mportugal

    JamiiForums Tanzania Suprise nyingine hazifai...

    kk hiyo ni super fake surprize! Kutokuwa hewani kwanza ni beadache kwako maana hautajua kwanini hapatikani either kapata matatizo au vp? Dillema hiyo. Lkn pia kwake yeye alidhamiria kufanya hivyo, lkn kwanini? Alafu ameifanya week end!! Kwa mtazamo na uzoefu wangu ni kwamba, alikwenda club au...
  7. Mportugal

    JamiiForums Tanzania Dawa ya nguvu za kiume hadharani bila malipo!

    Haujafafanua mkuu, unachanganya pamoja au unakula kimojakimoja vikachanganyikie tumboni?!
Back
Top Bottom