Recent content by mpoporimbo

  1. mpoporimbo

    JamiiForums Tanzania Wanaume wanene na wenye vitambi tunadharaulika sana

    Hii ngoma droo
  2. mpoporimbo

    JamiiForums Tanzania Zingatia hili ni muhimu sana kabla hujaoa

    Duu, mbona mtihani, ntaweza kweli. Mi sio mchepukani, Ila Hamna kitu ninachokifurahia my time alone, pindi ninapokuwa nimetingwa na mambo mengi. Na hili pia ni chanzo kikubwa cha migogoro. Wanawake wako too emotional afu wanapenda all your time for themselves. Hapa ndo huwa ugomvi wangu na wao...
  3. mpoporimbo

    JamiiForums Tanzania Jamani napata wasiwasi hizi BVR ni nzima au zimechakachuliwa?

    Hizi machine ni biometric..licha taarifa nyingine wanazozirekodi, taarifa nyeti na ambayo ni unique kwa kila mtu ni finger print. Ni vp tena zinazishindwa detect kwamba record ya mtu ilishachukuliwa anapokuja kurecord kwa Mara ya pili. Hii imetokea huko kiwira mbeya. Nahisi hapa kuna chezo...
  4. mpoporimbo

    JamiiForums Tanzania Wadada na Wakaka wengi waliokwenda nje kusoma/kufanya kazi, wanarejea wakiwa hoi

    Mi nadhani kuishi nje ni malengo na mipango, kuwa nacho au kutokuwa nacho ni matokeo ya juhudi zako, ambazo umeziambatanisha kwenye malengo yako. Afu siku hizi dunia imekuwa kijiji, unaishi unapotaka. Kuna watu humu mmezaliwa nanjilinji kule mtwara, lupatingatinga, gambushi lakini...
  5. mpoporimbo

    JamiiForums Tanzania Ajali Mbeya: Zaidi ya watu 23 wafariki kwenye ajali iliyohusisha Hiace

    Khaaah, this is too much sasa
  6. mpoporimbo

    JamiiForums Tanzania Ajali: Mabasi ya Ngorika na RATCO yamegongana uso kwa uso na kusababisha vifo

    Hivi raia tunashindwa kufanya maandamano ya kitaifa kupinga hizi ajali. Zimezidi mpaka hasira. Tunaunda taifa la wafu na walemavu. Mi naumia Sana , MTU unapanda haya mausafiri unajua chochote kinaweza kukuta...zimezidii kwa kweli, wengine ooh mapenzi ya mungu..khaaa
Back
Top Bottom