Recent content by Mponda29

  1. Mponda29

    Kakosea number na kutaka kuniingiza mjini

    Hata kama kukwama ni kipindi cha mvua tu wao kila siku wamekwama kha
  2. Mponda29

    Uzi kwa wale wenye roho ngumu tu..

    Hivi hao mnaowafanyia hivyo ni wake au girlfriend
  3. Mponda29

    Nimedukua mawasiliano ya mke wangu kwa WhatsApp code, aisee anapanga makubwa kunisaliti nitakaposafiri

    Pole sana kwa hili liliolokukuta hili ni moja ya mambo magumu kidogo ki binadamu hasa kwa mwanaume ushauri wangu ni huu jaribu kukaa na watu wazima wenye busara au wasimamizi wa ndoa yenu na uwaeleza haya yanayokusibu utasaidika na hili litaisha pole sana kwa hili nyakati ngumu zipo na hupita...
  4. Mponda29

    Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

    Mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake. Wenyewe nadhani ajajua maana ya ndoa Ndoa ni kujaza pale kwa mwenzako palipopungua yaani mnatengemezana mnaimalishana hata mwisho hii sio sawa
  5. Mponda29

    Mwanamke wa kizungu ananidrive crazy

    Kwa nn kupenda ugumu wakati urahisi upo
  6. Mponda29

    Saikolojia: Jinsi ya kuondokana na mawazo yanayoumiza au kuhuzunisha

    Katika hii Dunia tunapita katika changamoto nyingi sana zingine hazielezeki hata kidogo lakini cha muhimu au ushauri wangu kwako ni ujifunze kumweleza Mungu kila hali inayokusibu yeye anakujua vema na anaweza kufanya kila kitu kama ilivyoandikwa 1Petro 5:7 mtwike Bwana Fadhaa zenu Zote maana...
  7. Mponda29

    Bao la usingizini

    Hili Taifa linawapumbavu wengi sanaa
  8. Mponda29

    Nani alimtoa bikra mke wako?

    Sio mchezo
  9. Mponda29

    Tundu Lissu ashinda Urais wa Chama cha wanasheria nchini (TLS) kwa kupata 88% ya kura

    Kura za huku kwetu bila kulindwa lazima uweke mikono kichwani watoto wa mjini wanasema lazima uvae helmet
Back
Top Bottom