Recent content by mpolisi

  1. M

    Mahojiano ya Zitto na Tido Mhando katika kipindi cha Funguka - Azam TV

    Dr. Slaa lipumba wanatumika. Kama hujaamka ni kupigania HAKI. Hata rasimu ya warioba walioikataa ni CCM na wakampiga na makofi lakini leo hii wanamtumia. Wanatumika na CCM tunawajua Kuna Pole pole, ZZK, dr. Slaa, lipumba,. Na mwisho wa siku watafute pa kutokea
  2. M

    GE2015 Nape: Mbowe aiuza rasmi CHADEMA kwa Lowassa

    sijawahi kuona kilaka kama nape CCM. kinachomuuma nn CHADEMA kuuzwa kama si usenge tu.
  3. M

    Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    njia pekee ya kuzuia msafara wa LOWASA ni kutokuonesha matukio yake TBC1. vinginevyo ni kwa mbinde sana.
  4. M

    Mbowe na Lowassa yawezekana wakawa tatizo CHADEMA

    yan CCM hata mtume mamluki mtumie pesa mseme uongo hamuwez kuzuia mafuriko. time up for CCM
  5. M

    Ni Kwanini CCM huwa inapatia kura zake zaidi kwa wasiosoma na watu wa Vijijini?

    wewe kweli abunuas hadi akili zako kiabunuasi. unataka kusema watu wa arusha wote wavuta bangi hadi wazee? watu wa mbeya wavuta bangi (tigo ww abunuasi) subir tar 25 utagundua asilimia kubwa watanzania wote wamevuta bangi. very selfish CCM inawafanya vijana kuwa selfish kwa rushwa ndogo...
  6. M

    Usahihi: Dr. Slaa yupo CHADEMA

    lowasa atakuwa msafi CDM kwa sababu alipokuwa CCM alibanwa na mfumo wa chama chake cha zamani but sasa atafanya kazi kwa uhuru
  7. M

    Lowassa is 'Dead' Politically

    LOWASA is dead? it is so pitiful to see how sisiemu are crying.
  8. M

    mzumbe students

    nikifungua hayapo but kwene fb ndo wametupia but hayafunguk vizur
  9. M

    mzumbe students

    naomba msaada wa majina ya accomodation mzumbe university morogoro
  10. M

    Kwa Ukali Dr Kitila Amjibu Ansbert Ngurumo

    Kitila kama kweli ni wewe nahisi kabisa umethibitisha kuwa wewe ni ccm lakini naomba uache kuandika maneno mabovu kuhusu chadema maana maneno yako ni shombo. Sawa chadema kuna mapungufu na hiyo ni kawaida kwa viongozi wote kuwa na mapungufu. Naomba uende kwa amani ccm ya chadema hayakuhusu tena!
  11. M

    Uchaguzi Mdogo Kalenga: Kamati Kuu ya CHADEMA kukutana kwa dharura Feb 14, 2014

    Kichwa maji wewe mnafiki na malaya wa kisiasa umeyajua wapi ya chadema wewe ------- shughulika na gamba gwanda huliwezi
  12. M

    Wanademokrasia popote mlipo tembeeni vifua mbele, wahafidhina wameanza sisi tutamaliza kabisa

    Waseme tu huyo zitto kaingia ccm rasimi maana ana mashabiki wengi wa kijani ambao wanataka kumchukua mazima. Mwanaharakati wa kweli ni yule anayepigania chama na wananch na siyo kutafuta umaarufu binafsi, kama ni mtego wa chama cha kijani umefeli waendelee kutapa tapa. M4c OPD baba lao tutafika...
  13. M

    Kwani CHADEMA inahitaji back up ya waislam ili kwenda ikulu?watuachie uislam wetu wafanye siasa zao

    Hili jamaa ---- sana unaongea pumba gani, imamu feki umemuona wewe tu kuwa ni feki, kwani waliomchagua kuwa imamu hawana akili ila we ndo una akili, unakubali uendelee kuongozwa na mafisadi kisa udini, elimu ikukomboe achana na udini
  14. M

    Ombi langu kwa Viongozi wa CHADEMA

    ACHENI UNAFIKI CHAMA cha kijani yanawahusu nini ya CHADEMA. WAJInga msiotumia akili zenu mnaendeshwa tu kama misukule
  15. M

    Uchaguzi wa CHADEMA ,pigo kubwa kuikuta CCM 2014

    CHADEMA tunaishi bali tutapambana kesho na hata milele wengi wanaojifanya kutuonea huruma kuhusu zitto ni CCM( A.K.A KIJANI/NJANO) msiogope tupo njiani.
Back
Top Bottom